SHERIA INASEMA NINI KUHUSU HILI?

UMUNYU

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
685
484
Naomba nieleweshwe kuhusu suala la mtu kuchafuliwa sifa yake mbele ya jamii!Akiwa kama mlalamikaji anaweza kwenda mahakamani na kufungua kesi ya madai ya fidia halafu akataja hadi na kiwango mfano ninataka anilipe fidia shilingi bilioni moja na shilingi moja!MSAADA WADAU
 
Yes inawezekana under "DEFAMATION" ukimshitaki mtu kwenye hilo kosa utaweza kupata gharama/fidia za yy kukuchafua endapo tu utaweza kuionyesha mahakama ELEMENTS ZINAZO-FALL under defamation na kuweza kuzi-prove,
1: statement iliyosemwa au kuandikwa juu yako ambayo imekuchafua inatakiwa iwe ya uongo.
2: statement hiyo inatakiwa iwe imejulikana au kusikika na third party
3: statement hiyo inatakiwa iwe imekuletea madahara mbele ya jamii
 
Sawa,sasa sheria haiweki mipaka ya kiwango cha fidia?Maana wengi wanadai shilingi bilioni moja
 
Sheria haijaweka kiwango ila kama itaweka hata trilioni moja ww uliyeeka ndo unatakiwa uionyeshe mahakama why ikupe hiyo pesa yote. Mfano rahisi: waziri kwa mfano akichafuliwa jina gharama yake ya madai itakuwa juu tofauti na mkulima wa kawaida ambaye hajulikani sana akichafuliwa juna
 
Nashukuru sana!
 
Yes inawezekana under "DEFAMATION" ukimshitaki mtu kwenye hilo kosa utaweza kupata gharama/fidia za yy kukuchafua endapo tu utaweza kuionyesha mahakama ELEMENTS ZINAZO-FALL under defamation na kuweza kuzi-prove,
1: statement iliyosemwa au kuandikwa juu yako ambayo imekuchafua inatakiwa iwe ya uongo.
2: statement hiyo inatakiwa iwe imejulikana au kusikika na third party
3: statement hiyo inatakiwa iwe imekuletea madahara mbele ya jamii
Plz. Nakuomba pm
 
Back
Top Bottom