Sheria hapa ikoje...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,573
Reaction score
3,255
Ndugu wana body,habari za sahizi,na poleni kwa majukumu.nina issue nataka kijua sheria hapa ikoje!je unaweza kustaki kampuni?mfano umeomba kazi katika kampuni x,miaka kazaa ilio pita,ukakosa.ila miaka kaza unaona barua yako ya ajira ulioomba,inazagaa mitaani tena inafungiwa mandazi,je unaweza kustaki kampuni husika.naambatanisha picha japo sio yangu mod utanisaidia kuficha jina la muhusika na anuani!!nikatika kujifunza
 

Attachments

  • IMG_20250404_093301.jpg
    138 KB · Views: 18
Duh,hakuna wanasheria
 
Unaweza kufungua Kesi ikiwa utathibitisha ulivyoathirika kwa kitendo hicho mbele ya jamii inayokuhusu au uliyomo na kuwa kampuni haikuwajibika kutunza Siri ambayo ilipaswa kuwajibika kuitunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…