Sherehe za Ushindi wa CCM jimbo la Kalenga.

Sherehe za Ushindi wa CCM jimbo la Kalenga.

COARTEM

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
3,617
Reaction score
3,680
Wakuu Chadema wameangukia pua Huko Kalenga. CCM wameshinda kwa zaidi ya 70% ya kura.
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • kl1.JPG
    kl1.JPG
    134.1 KB · Views: 1,925
  • kl2.JPG
    kl2.JPG
    155.6 KB · Views: 1,903
  • kl3.JPG
    kl3.JPG
    119.9 KB · Views: 1,898
Hongereni sana ccm ila mjue tu hakuna kitu rahisi duniani,tutaendelea kutoa challenge kwenu mpk siku ukombozi wa pili utakapopatikana........hongereni sana
 
Watu walio wengi wa jimbo la kalenga hawajitambui kabisa yaani ni negative digit kichwani mwao
 
Zile analysia nyiiingo za watu naona zepata majibu. kelele Imeiasha sasa.
 
Niliwambia jana na leo mchana tutakimbiana. Ngoma ya watoto haikeshi mmepiga piga makopo kufika saa 12 tumewaogesha sasa muende mkalale ila msisahau kubeba midoli yenu. Sasa njooni Chalinze tuwakafin kabla hatujawatia ktk Jeneza tukiangalia tukawazikeni wapi!
 
Baba hadi motto, kwa siri ni nzito nchi hii, kwanza baba alikufaje?

inasemekana baada ya kumkolimba baba mtu,magamba wametumia mbinu ya kumpatia ubunge mtoto mtu ili kumfunga domo.si unajua tena zawadi zingine ukishapewa,domo linakuwa zito na kufa ganzi kuhoji ukweli.
 
Big up CCm kwa ushindi wa kishindo hapa ni zamu ya CDm kuangalia kama wako sahihi au wanapaa juu tu wajisahihishe mapema kabla ya kinyang'anyiro 2015.
 
Kweli ujinga nyumba ya wavivu, labda dunia igeuke kasikazini kusini ili kupata watu wenye mawazo tofauti
 
Watu walio wengi wa jimbo la kalenga hawajitambui kabisa yaani ni negative digit kichwani mwao

Akili za vijana wa Bavicha za hovyo sana nyie juzi mlikua mnasema Kalenga,wamefunguka magamba,yananyolewa,tunaojua,tukawaonya sasa wananchi wamewanyoa,kwenye 0713.....mnawatukana,hivi demokrasia,ni,kuchagua Magwanda tuu,bora kuwa zuzu,kuliko vijana,wa Bavicha
 
Back
Top Bottom