Kidumu chama cha mapinduzi
Watu walio wengi wa jimbo la kalenga hawajitambui kabisa yaani ni negative digit kichwani mwao
Nyiooo msingeiba mngeishia hivyo hivyo tu
Hongereni kwa kubahatisha...
hawa watani zangu wala nyama ya mbwa hawajachagua mbunge ila wamechaguliwa mbunge.ndio madhara ya kula nyama mbwa kwa mda mrefu.
hawa watani zangu wala nyama ya mbwa hawajachagua mbunge ila wamechaguliwa mbunge.ndio madhara ya kula nyama mbwa kwa mda mrefu.
Mtawatukana kila tusi duh! Wabunge 40 + Chopa + Arusha + Mbeya + Josephina + Rozi Timamu + Rushwa=KIPIGO
Kama hivii..........................
Kata ya nzi kituo cha tanroad
CCM 142, CDM 26, CHAUSTA
1.KITUO CHA OFISINI A CCM
116 CDM 2, OFISINI B CCM 112,
CDM 34, CHAUSTA 1. KITUO CHA
NZI SHULE CCM 137, CDM 37,
CHAUSTA3
TOSA no.1
CCM 98 ,Chadema 20, CHAUSTA 0
Ipamba no2. CCM 104, Chadema 10,CHAUSTA 0
Isakulilo CCM 83,Chadema 8,CHAUSTA 0
Kilindi A CCM 69 ,Chadema 23, CHAUSTA 0
Ofisi ya Kijiji(Kilindi) CCM 117, Chadema 53, CHAUSTA0
Zahanati CCM 117,Chadema 67, CHAUSTA 1
Ifunda
Kivalali A CCM 99 Chadema 19 CHAUSTA 0
Kivalali B CCM 109 Chadema 14, CHAUSTA 1
Muwimbi CCM164, Chadema 22 CHAUSTA 0
Mahanzi CCM 130 Chadema 46 CHAUSTA 0
Ikungwe A CCM 131 Chadema 23 CHAUSTA 0
Ikungwe B CCM 216 Chadema 13 CHAUSTA 0
Magunga CCM 184 ,Chadema 4 CHAUSTA1
Wasa CCM 149,Chadema 15 CHAUSTA 0
Usengelidete CCM 260,Chadema 46,CHAUSTA O
duh, jukwaa limepoaa kisa chadema wameshindwa kalenga...poleni wana Chadema forum... CCM IPO MAKINI..
Hiyo 0713 iliyonyolewa ni ya mama ako, Hivi hata kama ni demokrasia ya kuchagua ndio uchague mwendawazimu?Akili za vijana wa Bavicha za hovyo sana nyie juzi mlikua mnasema Kalenga,wamefunguka magamba,yananyolewa,tunaojua,tukawaonya sasa wananchi wamewanyoa,kwenye 0713.....mnawatukana,hivi demokrasia,ni,kuchagua Magwanda tuu,bora kuwa zuzu,kuliko vijana,wa Bavicha
Amepoa nani? Chadema inasonga mbele. Waliowapigia ccm nakuapia nenda kawachunguze utakuta wengi ni wazee na kina mama wasiojitambua pia watakuwa walevi wa ulanzi "eeh vinywa ulasi bela"wameshapoa tayari mkuu
Kama hivii..........................
Kata ya nzi kituo cha tanroad
CCM 142, CDM 26, CHAUSTA
1.KITUO CHA OFISINI A CCM
116 CDM 2, OFISINI B CCM 112,
CDM 34, CHAUSTA 1. KITUO CHA
NZI SHULE CCM 137, CDM 37,
CHAUSTA3
TOSA no.1
CCM 98 ,Chadema 20, CHAUSTA 0
Ipamba no2. CCM 104, Chadema 10,CHAUSTA 0
Isakulilo CCM 83,Chadema 8,CHAUSTA 0
Kilindi A CCM 69 ,Chadema 23, CHAUSTA 0
Ofisi ya Kijiji(Kilindi) CCM 117, Chadema 53, CHAUSTA0
Zahanati CCM 117,Chadema 67, CHAUSTA 1
Ifunda
Kivalali A CCM 99 Chadema 19 CHAUSTA 0
Kivalali B CCM 109 Chadema 14, CHAUSTA 1
Muwimbi CCM164, Chadema 22 CHAUSTA 0
Mahanzi CCM 130 Chadema 46 CHAUSTA 0
Ikungwe A CCM 131 Chadema 23 CHAUSTA 0
Ikungwe B CCM 216 Chadema 13 CHAUSTA 0
Magunga CCM 184 ,Chadema 4 CHAUSTA1
Wasa CCM 149,Chadema 15 CHAUSTA 0
Usengelidete CCM 260,Chadema 46,CHAUSTA O