Sherehe za uhuru mwaka huu ni mwisho

uduzungwa

uduzungwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Messages
502
Likes
454
Points
80
uduzungwa

uduzungwa

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2016
502 454 80
Mkuu wa nchi Leo katika hotuba yake amesema mwaka huu ndio mwisho kufanyika katika jiji la dar es salaam.
Kwa minajili hii naiona dodoma mpya kwa kasi sana katika huu utawala wa ngosha the don.
Watanzania wa kawaida wana mategemeo Mkubwa sana juu ya mh JPM.

Mie nimpe pongezi juu ya hili. Mungu akulinde na uzidi kutimiza zile ndoto za watanzania wengi.

Hapa kazi tu.
Wapinzani mtajijuuuu.
 
kulubule

kulubule

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
2,294
Likes
3,319
Points
280
kulubule

kulubule

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
2,294 3,319 280
Kweli we kiazi unalala njaa afu unaleta upuuzi nenda sasa lumumba ukanywe maji
 
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
5,838
Likes
3,395
Points
280
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
5,838 3,395 280
Mi nilijuaga hizo sherehe zinafanyikia uwanja wa Uhuru kwa sababu pale ndipo tulipotangaziwa kwamba Tanganyika ni huru,na ndo maana uwanja ukaitwa wa Uhuru kumbe sio asante magu kwa kunielewesha
 
englibertm

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Messages
9,261
Likes
1,966
Points
280
englibertm

englibertm

JF-Expert Member
Joined May 1, 2009
9,261 1,966 280
Mzee wa matamko katika ubora wake.
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,214
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,214 280
Ngosha ana mazuri yake mengi sana japo kuna wakati huwa anapitiwa kidogo.
 
Blood of Jesus

Blood of Jesus

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Messages
640
Likes
1,072
Points
180
Age
48
Blood of Jesus

Blood of Jesus

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2016
640 1,072 180
Sasa serikali kuhamia Dodoma mimi nitanufaika vp kwa hilo
 
BABU KIDUDE

BABU KIDUDE

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
1,480
Likes
584
Points
280
BABU KIDUDE

BABU KIDUDE

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
1,480 584 280
Mkuu wa nchi Leo katika hotuba yake amesema mwaka huu ndio mwisho kufanyika katika jiji la dar es salaam.
Kwa minajili hii naiona dodoma mpya kwa kasi sana katika huu utawala wa ngosha the don.
Watanzania wa kawaida wana mategemeo Mkubwa sana juu ya mh JPM.

Mie nimpe pongezi juu ya hili. Mungu akulinde na uzidi kutimiza zile ndoto za watanzania wengi.

Hapa kazi tu.
Wapinzani mtajijuuuu.
Hii mtajiju imekupunguzia maxx
 
Kalemwa

Kalemwa

Member
Joined
Dec 2, 2016
Messages
7
Likes
6
Points
5
Age
26
Kalemwa

Kalemwa

Member
Joined Dec 2, 2016
7 6 5
Ndio rais tukie mtaka watanzania rudsha kila kitu ktk uhalisia wake
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,214
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,214 280
Tumemwelewa Rais
 
CARLOS MAGOYO

CARLOS MAGOYO

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Messages
664
Likes
114
Points
60
CARLOS MAGOYO

CARLOS MAGOYO

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2015
664 114 60
Mkuu wa nchi Leo katika hotuba yake amesema mwaka huu ndio mwisho kufanyika katika jiji la dar es salaam.
Kwa minajili hii naiona dodoma mpya kwa kasi sana katika huu utawala wa ngosha the don.
Watanzania wa kawaida wana mategemeo Mkubwa sana juu ya mh JPM.

Mie nimpe pongezi juu ya hili. Mungu akulinde na uzidi kutimiza zile ndoto za watanzania wengi.

Hapa kazi tu.
Wapinzani mtajijuuuu.
Mbona ni jambo la kheri lisilohitaji vijembe vya kisiasa!!!!! Bahati nzuri nakufahamu hivyo nimeamua kutokupoteza muda wangu
 
Forum statistics

Threads 1,273,260
Members 490,343
Posts 30,475,692