inavyoonekana huwa hawachangii chochote kwenye muungano hata wafanyakaz wa muungano watokao zanzibar wanalpwa na tanganyika.
Benki kuu, ni ya muungano,ndiyo maana wakati wa vita na Amin fedha zote zikiwemo za serikali ya Zanzibar zilitumika, kwa ajili ya kugharamia vita ile na mambo yote yatokanayo na vita,mbona wazenj hawalalamiki? Acheni bwana.
chanzo cha mapato bot ni nini?
wana jf nijuzeni km sherehe ya muungano mwaka huu imechangiwa na serkal ya zanzibar kwakuwa nao n sehemu ya muungano.
wana jf nijuzeni km sherehe ya muungano mwaka huu imechangiwa na serkal ya zanzibar kwakuwa nao n sehemu ya muungano.
Labda ungetuelezea ni vipi Zanzibar imekuwa sehemu ya muungano ? Ninavyojua mimi katiba yake haisemi hivyo tena !
wana jf nijuzeni km sherehe ya muungano mwaka huu imechangiwa na serkal ya zanzibar kwakuwa nao n sehemu ya muungano.
Naona mnajichanganya, utachangiaje kitu usichokipenda. Na vipi tanganyika marehemu inaweza kulipia nchi iliohai. HHapo inathibitisha maneno ya Warioba kwamba Tanganyika imevaa koti la Muungano. Na mawazo ya waliowengi Tanganyika ndio Tanzania. Kweli nyinyi ni watwana mnakataa hata nchi yenu. Mbona warundi na waruwanda hawajakata iwe nyinyi tu kuna jambo hapa limejificha. Mkiambiwa mnatisha watu kwa kuonyesha vifaa vya kijeshi na makomando na kutishia kuingia misituni.
Unawezaje kutuambia ufahamu wako katika masuala ya muungano kwa zinavyoendeshwa hasa katika shughuri za maazimisho zinavyoazimishwa.wana jf nijuzeni km sherehe ya muungano mwaka huu imechangiwa na serkal ya zanzibar kwakuwa nao n sehemu ya muungano.
Kweli ukawa na bavicha ni shida sana katibu mkuu wa ukawa mzee slaa ndiye anawafundisha uongo na uzushi.Akili za UKAWA ukichanganya na Akil za Bavicha, ni noma!
Akili za UKAWA ukichanganya na Akil za Bavicha, ni noma!
Bajeti ya Nchi na mambo ya Muungano hupangwa na kuidhinishwa na bunge! unalingine au ushambenga tu? Nuko NGO gani? Tanzania na Watanzania wataendelea kubaki wamoja mpaka mwisho wa dunia...puppet kama nyie hamtafua dafu mbele yetu wazalendo wenye uchungu na nchi yetu...wana jf nijuzeni km sherehe ya muungano mwaka huu imechangiwa na serkal ya zanzibar kwakuwa nao n sehemu ya muungano.
Bajeti ya Nchi na mambo ya Muungano hupangwa na kuidhinishwa na bunge! unalingine au ushambenga tu? Nuko NGO gani? Tanzania na Watanzania wataendelea kubaki wamoja mpaka mwisho wa dunia...puppet kama nyie hamtafua dafu mbele yetu wazalendo wenye uchungu na nchi yetu...
Bajeti gani? Wacha kupotosha? Tuambie ni lini sherehe hizi zilifanyika Znz. Yani MACCM leo ndio wazalendo wa nchi hii? Kisa tu wanatetea matumbo yao kwenye serekali mbili?
Walishasema hawana uwezo wa kuchangia na wao hawautaki Muungano ndo maana hata sherehe za Muungano hazijawahi kufanyika Zanzibar