Sherehe za Muungano: Kikwete amkwepa Lowassa?

Hivi ni Itifaki au kuna kingine?

Leo akisalimia wageni waalikwa kwa kushikana nao mikono na kila mmoja, lkn hakumpa mkono Lowassa pamoja na Lowassa kupenyeza mkono lkn JK 'hakuuona'.

Wakati JK anarudi baada ya kumaliza kusalimiana akirudi kuketi, Lowassa alimpungia JK lkn kwa 'bahati mbaya' JK hakumuona!

GTs, tukio hili ni la Kiitifaki au ndio mtifuano wa kimaslahi na kimakundi ndani ya CCM?

this is ridiculous. Umeshasema hakumwona. Sasa angemsalimuje au kujibu kule kupunga kwake? Hivi umesahau kuwa hakukutana barabarani and whatever has happened ilikuwa ni ajali ya kisiasa? Acha uchokonozi. Kumbuka Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba vyao. Upo?
 
Hivi ni Itifaki au kuna kingine?

Leo akisalimia wageni waalikwa kwa kushikana nao mikono na kila mmoja, lkn hakumpa mkono Lowassa pamoja na Lowassa kupenyeza mkono lkn JK 'hakuuona'.

Wakati JK anarudi baada ya kumaliza kusalimiana akirudi kuketi, Lowassa alimpungia JK lkn kwa 'bahati mbaya' JK hakumuona!

GTs, tukio hili ni la Kiitifaki au ndio mtifuano wa kimaslahi na kimakundi ndani ya CCM?

naweza kukupa sababu mbili kuu.

moja. kikwete kwa nafasi yake hata mkewe au mwanae anaweza asimuone ktk tukio kubwa vile
mbili. kikwete na EL si wa kutoelewana kiasi hicho, amablo wewe na mm hatujui kikwete na el nyuma ya pazia
wanaweza kuwa mabest sana
 
Mwaka 2016 JK atakuwa ameshajenga maadui wengi ndani na nje ya chama chake.
Imagine Lema apewe wizara inayochunguza mali za viongozi wastaafu na katiba ikiwa imesharuhusu kiongozi mkuu kushtakiwa kwa matendo maovu aliyofanya? Nini kitatokea? Sio vizuri rais kuendekeza chuki na visasi

Kwani ule ugonjwa wa JK kuanguka anguka bado anao!!?
 
Wewe uliyeenda shule umefanya nini la maana kuelimisha wasioenda shule ??
Kutoenda darasani au shule sio mwisho wa Maisha. Tuna Wasomi wangapi na wewe ukijiita msomi, na maisha na matendo yao ya Ovyo haswa, kulingana na elimu na usomi wao ??? !!!
Ficha Ujinga wako.

Rudi darasani ujifunze kuandika.......Kuna tofauti kubwa sana kati ya hayo maneno mawili hizo alama za ' ' zina
maana yake.
 
Wimana weka picha tuone umbali uliopo ili tuone na kujadili kwa kina zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Hivi ni Itifaki au kuna kingine?

Leo akisalimia wageni waalikwa kwa kushikana nao mikono na kila mmoja, lkn hakumpa mkono Lowassa pamoja na Lowassa kupenyeza mkono lkn JK 'hakuuona'.

Wakati JK anarudi baada ya kumaliza kusalimiana akirudi kuketi, Lowassa alimpungia JK lkn kwa 'bahati mbaya' JK hakumuona!

GTs, tukio hili ni la Kiitifaki au ndio mtifuano wa kimaslahi na kimakundi ndani ya CCM?

Hawa ni Ze Comedy, usishangae kuwa walipanga hivyo. Wakirudi nyumbani wanapigiana simu na kutakiana hali, mimi wala sishangai hata.
 
Hivi ni Itifaki au kuna kingine?

Leo akisalimia wageni waalikwa kwa kushikana nao mikono na kila mmoja, lkn hakumpa mkono Lowassa pamoja na Lowassa kupenyeza mkono lkn JK 'hakuuona'.

Wakati JK anarudi baada ya kumaliza kusalimiana akirudi kuketi, Lowassa alimpungia JK lkn kwa 'bahati mbaya' JK hakumuona!

GTs, tukio hili ni la Kiitifaki au ndio mtifuano wa kimaslahi na kimakundi ndani ya CCM?

Masharti ya 'MPIGA RAMLI'
 
Hawa Boys 2 men walifarakana kwenye Kampuni yao feki ya Richimonduli.
 
Wewe uliyeenda shule umefanya nini la maana kuelimisha wasioenda shule ??
Kutoenda darasani au shule sio mwisho wa Maisha. Tuna Wasomi wangapi na wewe ukijiita msomi, na maisha na matendo yao ya Ovyo haswa, kulingana na elimu na usomi wao ??? !!!
Ficha Ujinga wako.

Sikujua kama kujua kuandika ni usomi. Asante kwa taarifa, Alamsiki.
 
Safi! Ingetakiwa watemeane mate machoni.
Sijaona faida yao kwa Watanzania zaidi ya kujinufaisha wao kwa wao!
 
Mkuu, Mbona unachanganya mambo, uliniuliza kama najua maana ya tofauti kati ya 'hakuuona' na hakuuona.
Haujaniuliza kama najua kuandika. Haya na wewe unajua maana na tofauti kati ya 'msomi' na msomi ???

Sikujua kama kujua kuandika ni usomi. Asante kwa taarifa, Alamsiki.
 
Mkuu, Mbona unachanganya mambo, uliniuliza kama najua maana ya tofauti kati ya 'hakuuona' na hakuuona.
Haujaniuliza kama najua kuandika. Haya na wewe unajua maana na tofauti kati ya 'msomi' na msomi ???

Hapa ndugu yangu kwa namna hii tuta-prolong mjadala na usiwe na mwisho. Ukijua kuandika utafahamu kutofautisha
mtu anapotumia hizo alama za ' ' na anapoandika neno hilohilo bila alama hizo. Ndicho nilichojaribu kukueleza.

Na matumaini yangu yakawa sasa ni jukumu lako kutafuta hiyo tofauti ikoje na inakuwaje hasa kwenye muktadha
wa sentensi. Labda nikumegee kidogo kwenye hizi sentensi mbili:

1. Katika maongezi yao Juma akamwambia rafiki yake yuko radhi hata kuvunja benki ili apate fedha za ada.
2. Katika maongezi yao Juma akamwambia rafiki yake yuko radhi hata 'kuvunja benki' ili apate fedha za ada.

Sentensi ya kwanza Juma anaonyesha ana dhamira ya kweli kuvunja Benki, Wakati sentensi ya pili maelezo yake
hayana nia ya kuvunja benki ila anamaanisha atafanya jitihada kubwa mpaka apate fedha ya ada.
 
Asante sana Mkuu kwa maelezo safi. Nimekuelewa na Tupo Pamoja.

Team Lowasa bhana ! Hamkati tamaa tu ? Yaani Leo ndiyo mmeamua kutuletea upuuzi huu siyo ! Kweli nyama na pombe ni balaa ! Mimi nilijua ni Monduli tu , kumbe hata Jf ofa imetia team duh !
 
Mwaka 2016 JK atakuwa ameshajenga maadui wengi ndani na nje ya chama chake.
Imagine Lema apewe wizara inayochunguza mali za viongozi wastaafu na katiba ikiwa imesharuhusu kiongozi mkuu kushtakiwa kwa matendo maovu aliyofanya? Nini kitatokea? Sio vizuri rais kuendekeza chuki na visasi

Acha bwana, utafanya watu wakose hamu ya kula!! hawataki kabisa kuamini kuwa hilo linawezekana!!
 
Nyie administrator wa JF hebu ondoeni hoja kama hii,sasa hapa tujadili nn?
Jaman,kweli rais angepenyaje hadi amfikie Lowassa kule nyuma kiti row ya nne?au ndio hoja zinazokubalika humu hazifitwi?
Pia rais kaenda pale kusalimiana na kila mtu?

Unajikuna pale unapoweza mkuu. Sio lazima uchangie, Japo inaweza kuwa katika majukumu yako ya kawaida ni lazima uandike kitu katika kila uzi. Angalia kila uzi Reply ni ngapi na Views ni ngapi utapata jibu.
 
labda Lema atapewa WIZARA ya kuchunguza Mmbu

Tatizo la akili za kushikiwa kaazi kweli kweli! Hivi hujui kwamba hiyo Idara ya Kuchunguza Mmbu ni muhimu kwa Taifa hili? Yaani hapa kwa akili za kushikiwa ulidhani umemshusha Lema kumbe ndio UMEMPANDISHA CHART ile mbaya. SHY AWAY MAGAMBA.
 
Back
Top Bottom