Sherehe za miaka 47 ya Muungano

Kumetokea nini tena mbona chl 10 wamesitisha matangazo ya sherehe za muungano?
 
TANGANYIKA TANGANYIKA TANGANYIKA ndio wanaotuburuza.

Iko siku iko siku iko siku

Tanganyika inawaburuza inawabeba?maana nimesikia mtangazaji TBC anasema,mnaomba iwasaidie kiuchumi nyie bado wadogo,hapo inakuwaje?
 
Tanganyika inawaburuza inawabeba?maana nimesikia mtangazaji TBC anasema,mnaomba iwasaidie kiuchumi nyie bado wadogo,hapo inakuwaje?
amesema kiuchumi Tanganyika wako juu hivyo wanapaswa wawasaidi upande wa pili ili walingane kiuchu anasema vijana wa Tanganyika wako vizuri kiuchumi wakati vija wa zenji wako hoi...........
 
Vipi, John Momose Cheyo, Ryatonga Mrema, Mbowe, Prof Lipumba na wenyeviti wengine wa vyama vya siasa wapo? Au wamemuacha wa ccm pekee!
 
Kikwete anazungumza na Mwamnyange anamwambia aisee ile mambo ya October ingebuma tusinge kua hapa jamaangu na mwamnyange akajibu hahahahahhaaaaaaa mi nilikua imara wewe!!!
 
aag hawajaanza tu kumwaga lecture upupu??hembu tujuzeni wenye access
 
Eti TV ya taifa haina inacho kiweza zaidi ya kucopi na kupesti....yamesha kata sijui Kikwete kadondoka kama kawaida yake
 
Imekuwaje mbona Station zote za TV zimekata ghafla matangazo live ya sherehe za muungano toka Zanzibar? Kunani kimetokea?
 
Eti TV ya taifa haina inacho kiweza zaidi ya kucopi na kupesti....yamesha kata sijui Kikwete kadondoka kama kawaida yake

fully kuchakachua, yaani suala la kurusha tukio live nalo linasumbua kiasi hiki? duh!!
 
Ni kwamba wamekata matangazo wote kwa ma agizo maalum kwa sababu leo mgeni rasmi hatohutubia.kulikoni hii....wana jf mwenye lolote na atujze kuhusu ukimya huu!
 
watu ni wengi lakini kuna mapengo....

Mkuu, umejaa kweli au ndiyo ule utaalamu wa Tanzania Boaring Channel 1 wa kuchagua sehemu yenye watu wengi na kuipiga picha kama shughuli ni ya CCM AU SERIKALI? Lakini CDM et al wanatafuta yenye watu wachache.

Hivi uwanja wa Amani unachukua watu wangapi vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…