Mpita Njia
Platinum Member
- Mar 3, 2008
- 6,999
- 1,189
- Thread starter
-
- #41
hajazungumzia suala la mgomo wa walimu unaotarajiwa kuanza kesho... Labda halina madhara kwa serikali hii
Mkuu, shukrani sana. Errors nimejitahidi kurekebisha accordingly.Poleni sana kwa spelling mistakes, hasa huku kwenye hotuba ya muungwana, nilikuwa najitahidi vidople viende kwa spidi yake ya kuzungumza.
Sherehe zimekabidhiwa kwa vijana kwa sababu wao ndio tegemeo la taifa la KESHO na KESHOKUTWA.
Mkuu, shukrani sana. Errors nimejitahidi kurekebisha accordingly.
Kaondoka na gari lake jipya? Naona State House wamebadili wanatumia X5 cars siku hizi. Linafanana hivi?
kaulimbiu-Kutunza vyanzo vya maji, kupambana na rushwa, ukimwi na kupambana na dawa za kulevya.
Kauli mbiu ya ukimwi ni ya kila mwaka kwa sababu tatizo hilo lipo siku zote. Anawashukuru waliojitokeza kupimwa. Kwenye maonyesho aliyoaangalia waliopimwa asilimia 2 tu ndio wana UKIMWI (kama watu 40 out of more than 1400). Arusha mwaka jana waliokutwa na virusi walikuwa asilimia saba.
Si vibaya kujenga utaratibu wa kupima kila mwaka. "Pima kila mwaka hata kama katika kipindi hicho ulikuwa mwaminifu wa kutosha na mwadilifu."
nawahakikishia watanzania kuwa dawa za kurefusha maisha zipo na mtanzania yeyote atakayeathirika na kuhitaji kutumia dawa, serikali itampatia dawa hizo, tena zinatolewa bure. Usikubali mahali popote ukauziwa dawa hizi.
Naamini kuwa atakayeuziwa ni yule atajkayeona haya, atakayefanya kimya na kutaka apewe dawa kwa siri.
Kwa hiyo anarudi Mbeya kuendelea na ziara au vipi? haya mambo ya kukimbiza moto mie yananiboa naungana na wale wanaosema mwenge unasambaza ngoma maana kwenye mikesha ya mwenge watoto wanaumia kichizi,.,,,
..wanaumia au wanajiumiza?
Kwa hiyo anarudi Mbeya kuendelea na ziara au vipi? haya mambo ya kukimbiza moto mie yananiboa naungana na wale wanaosema mwenge unasambaza ngoma maana kwenye mikesha ya mwenge watoto wanaumia kichizi,.,,,