Sherehe za harusi/ndoa

mtoa mada,tanua mawazo yako zaidi...kwa taarifa yako wedding industry imeajiri watu wengi sana nikiwamo mimi mwenyewe kama mc na mpambaji na shughuli nzima za harusi kwa ujumla!
 
Kama kuna haja ya kuhonga kila mwezi basi usione ajabu kuchangia wengine pia.
Yale unayotaka ufantiwe anza wewe kwanza kufanyia wengine. Ukipanda lazima uvune.
Thanks
 
mtoa mada,tanua mawazo yako zaidi...kwa taarifa yako wedding industry imeajiri watu wengi sana nikiwamo mimi mwenyewe kama mc na mpambaji na shughuli nzima za harusi kwa ujumla!

Khaa! So ndio nyie mneemeke wengine waumie?!
 
Khaa! So ndio nyie mneemeke wengine waumie?!

mheshimiwa,nasisitiza tena...broaden your mind,nikineemeka mimi kama unavyoita hela nitakayopata nitanunua suti kali ya umc ktk duka la preta,nitaenda kupata vinywaji ktk baa ya babu asprin,nitampeleka mwanangu na mke wangu wakiumwa ktk hospitali ya dk riwa,nitaweka furniture za ofisi yangu kutoka ktk furniture centre anayofanyia kazi mdogo wako,nitaweka credit ktk simu yangu ya kampuni ya simu unayofanyia kazi wewe so nitachangia mshahara wako,pia nitanunua laptop au computer software au services ktk duka lako la vifaa vya computer uliyoanzisha kujiongezea kipato(note nimekupa hela mara 2)etc etc...thats economy

fikiri kwa mapana mkuu.
 

kuna movie inaitwa our family wedding, inatoa picha kamili ya unalolisema, eti kwamba ndoa ni ya wawili ila arusi ni ya wanafamilia/ndugu!
 
Then i am broadening my thinking, Preta, Aspirin, Riwa na wengineo wote uliowataja hapo ni kati ya wale waliotoa mchango wa 100,000 kutoka kwenye biashara zao na kwa bahati mbaya sana kwa biashara zetu za kiswahili huwa tunajibebea tu kutoka kwenye sales za biashara zetu bila kua account for mwisho wa siku biashara zinakufa kwasababu ya michango ya kipuuzi. Mi nakubaliana na wewe kwamba inacreate ajira but tufanye kwa uwezo wetu bila kujistrain sana kama tunavyofanya sasa ambayo haitufanyi tuendelee ila tunaendelea kugawana umasikini tu.
 
michanho ya harusi inakera, leo nimetua tu ofsn nimepata mikadi mingine.... Hivi unachakarika ili uchangie watu?

Kwa kweli walaaaa siku hizi nachangia watu wanaonihusu tu.....
Inapaswa ifike kipindi harusi mtu ajikusanye mwenyewe sio kubebeshana majukumu yasiyo na msingi.....

Harusi milioni 15-20 hiyo hela si heri afanyie biashara?
 
Hahahahaaa pole mama, mi mwenzio nshachoka nayo siku nyingiiiiii basi tu
 

Ila kweli bwana,somtym inakuwa too much mpaka inaboa,bora tuchangiane ndugu 2 na tunaojuana kwa ukaribu bas
 

tumecopy kutoka mataifa mengine kama yapi..? nchi zilizo endelea mtu anatafuta mwenyewe hela ya harusi sio kutembeza mchango mf..uingereza na marekani muoaji anatafuta pesa mwenyewe then anagharamia mpango mzima
 
aisee hivi huwa mnashindana hivi yangu ilicost Tsh167,750/= na sikumchangisha mtu yeyote na hadi sasa mtu akiniletea li card lake simchangii ila akileta kuchangia mtoto wake kakosa school fees lazima nimpe 50,000 fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…