Sherehe za CCM Kutimiza Miaka 33 Zafana - Reading, Uingereza

S. S. Phares

JF-Expert Member
Nov 27, 2006
2,138
82
Matukio yalivyojiri katika picha...



Mhe Pius Msekwa akihutubia wageni na wanachama wa CCM Tawi la Uingereza.



Wageni waalikwa na wanachama wa CCM wakimkiliza kwa makini mgeni rasmi, Mhe Pius Msekwa.



Mgeni rasmi Mhe Pius Msekwa akitoa mkono wa pongezi na karibu kwenye Chama Cha Mapinduzi kwa baadhi ya Viongozi/ Wanachama wapya.



Mhe Pius Msekwa akikabithi vitendea kazi kwa viongozi wapya wa Mashina mapya ya CCM ya London East na South.



Mhe Msekwa akiwa kwenye picha ya pamoja na wanachama wapya wa CCM Tawi la Uingereza.
 

Attachments

  • _a.JPG
    34.1 KB · Views: 1,340
  • _b.JPG
    44.8 KB · Views: 1,341
  • _c.JPG
    35.3 KB · Views: 1,312
  • _d.JPG
    38.6 KB · Views: 1,308
  • _e.JPG
    48.2 KB · Views: 1,344
Saafi sana! Inatakiwa wabanane huko huko..... wengi kadiri inavyowezekana... Lakini kwa kuwa hawawezi kukirimiwa wote, wengine wata-saffocate..... na hapa ndio ule mpasuko wa kweli tunaoungojea utatokea....
 
Hivi hawa huko UK wanafanya kazi gani??

Wako mchanganyiko sana ila kwa mfano tu, kuna Telecom Engineers, Doctors, Nurses, Sales, Teachers, Higher Education Students, Security Personnel, Health Care Assistants, Entrepreneurs, Lawyers, Midwives etc, etc ni kama walivyo WanaCCM wengine Tanzania na sehemu nyingine duniani.
 
-Labda hawa


Ni ngumu kuamini kwamba watu na akili zao wanaweza wakaa nje ya nchi na kushabikia sisiemu, wanacheka na kufurahia maisha, ni aibu! Au wanatafuta ubunge wa kuteuliwa baada ya uchaguzi?? Yaani kinachowavutia kuipenda sisiemu kiasi hicho nini hasa?
 

Umesahau kuna wale waliojilipua pia!
 

Nini kusudi la hii post yako?
 
Tunajua Mh.Msekwa anadaiwa pesa za matibabu ya kijana wake huko Ufaransa na Wizara ya Mambo ya Nje.Surely pesa za masurufu alizopewa na SISIEM zinaweza kulipa deni la zaidi ya miaka 5 na zaidi iliyopita!
 

Hao ni wasomi, leo mnasema wale wanaowashabikia akina EL, RA hawajasoma? hivi kweli CCM na yote haya waliyoyafanya bado watu mnaamini kabisa kushabikia miaka 33 ya kuzaliwa CCM?? then what next? si ndiyo mnawabariki waendelee ufisadi wao

Tunajua Mh.Msekwa anadaiwa pesa za matibabu ya kijana wake huko Ufaransa na Wizara ya Mambo ya Nje.Surely pesa za masurufu alizopewa na SISIEM zinaweza kulipa deni la zaidi ya miaka 5 na zaidi iliyopita!

Msekwa anaufanya umati wote kuonekana kituko,

Nini kusudi la posti yako?

ujue kuwa kansa ya CCM siyo Tanzania tu hata walio nje!
 
Nahisi kuna member mmoja maarufu sana wa JF kwenye hizo picha, mi simo
 

Stinkers!
 
Wapiga box, Cleaners,.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…