Sherehe ya kumpongeza Meya jijini Mwanza

Sherehe ya kumpongeza Meya jijini Mwanza

ImageUploadedByJamiiForums1418247601.887936.jpg naona mmedai sana picha mimi nimehudhuria malaika ila sijajua ndoa imefungwa kwa dini gani maana nasikai msichana ni mwislam
 
Meya wa KICHINA,baada ya kupiga bilioni 40 anajipongeza.Hukumu yake 2015.Nasikia amenogewa anataka amtoe mtoto wa Mama Nitillie wetu WENJE.Labda aje na gari za kuwasha kama 20
 
Hongera zao buana ...! Sherehe ilinoga knomanoma. Lulu Wa kanumba nae hakupitwa!
 
Back
Top Bottom