Ili kumtumikia Kaizari kwanza, sherehe hii itaanza saa moja jioni mahala popote nitakapokuwa na kuisha saa kumi na mbili asubuhi kesho yake kupisha muda wa kwenda kumtumikia Kaizari tena.
Tuko katikati ya sherehe na mambo yanakwenda vizuri sana; picha zitafuata baadaye. Bado kuna msosi kibao na vinywaji kedekede. Nikontakt nikutumie shea yako electronically!!
Tuko katikati ya sherehe na mambo yanakwenda vizuri sana; picha zitafuata baadaye. Bado kuna msosi kibao na vinywaji kedekede. Nikontakt nitumie shea yako electronically!!