Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,432
hapo atakuwa alilog inHapo kwenye mafenesi uliLog in au uliLog Off?
SOURCE: Mzee Yusuph, "...wanawishe mafuta, chakula chao mafenesi tayari.."jamani nawaombeni sana watu ambao mnapenda kufanya sherehe bila ya kuwa na fedha muache tabia hiyo.
unakuta mtu hana hela ila anapenda tu kuwakusanya watu na kuwapotezea muda kwa mambo yasiyo na maana.
Jumapili hili kuna my friend wangu alinialika nyumbani kwake kuwa anafanya birthday,basi mzee nikajipinda kumnunulia zawadi ya nepi rafiki yangu huyo.
Basi baada ya watu kuanza kumiminika na nyimbo za hepi bathdei,tukawekewa na muziki mkubwa,tukacheza sana kumsapoti rafiki yetu,basi ulipofika muda wa maakuli nilipigwa na butwaa,baada ya kuona waandazi hao wakitunawisha kwa mafuta ya kula,mtu mzima nikauchuna nione nini kitatokea,huwezi kuamini ndugu msomaji TUKALETEWA MAFENESI.Nalog off
Si angeuchuna tu. Nalog offlabda hakuwa na uwezo ila alipenda awashirikishe
halafu unakuta mabichi yanagandisha mikono balaaSi angeuchuna tu. Nalog off
Usiwe msahaulifu wa kuacknowledge waasisi.
SOURCE: Mzee Yusuph, "...wanawishe mafuta, chakula chao mafenesi tayari.."
Kutokana na ile njaa ya kuchezeshwa muziki kwanza nililog yale mafenesi halafu sasa hivi. Nalog offHapo kwenye mafenesi uliLog in au uliLog Off?
Ni kweli ndugu yangu. Nalog offMafenesi ni matamu sana!
Basi mwenye shughuli atakuwa amekopi na kupasti kutoka kwa huyo mzee,huyo mzee Yusufu unayemzungumzia anatokea Rufiji? Nalog offUsiwe msahaulifu wa kuacknowledge waasisi.
SOURCE: Mzee Yusuph, "...wanawishe mafuta, chakula chao mafenesi tayari.."
Sijakuelewa bi dada. Nalog offhee kumbe kadesa?
Ule utomvu wake ndio unaozingua. Nalog offhalafu unakuta mabichi yanagandisha mikono balaa
hee kumbe kadesa?
Kabisa! Mfalme ameimba hicho kipande kwenye wimbo wa 'My Valentine', album ya mwaka 2010 ft. Jahazi Modern Taarab...
Basi mwenye shughuli atakuwa amekopi na kupasti kutoka kwa huyo mzee,huyo mzee Yusufu unayemzungumzia anatokea Rufiji? Nalog off
hehe na wewe uko juu kwenye mambo ya mwambao?haya tupange tukutane mango garden au travetine.
Basi mwenye shughuli atakuwa amekopi na kupasti kutoka kwa huyo mzee,huyo mzee Yusufu unayemzungumzia anatokea Rufiji? Nalog off