SHENKE: Dawa ya kuua Mbu

Bitabo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
1,900
Reaction score
690
Wadau hii dawa inauzwa mitaani jijini DSM lakini cha ajabu haina details za kumlinda mtumiaji.

Hakuna manufacturer details. expiry date au content za hiyo dawa kujua ni materials gani zimetumika kuitengeneza.

Je TFDA na TBS hawajaliona hili jambo? kama kuna muhusika wa taasisi hizi hapa JF naomba alifikishe hili mahala husika
 
Je umeijaribu ukaona inavyofanya kazi au unalia tu na TFDA, ukiitumia pamoja na chakula hapo umeenda pabaya, lakini kuichoma ikauua mbu peta tu
 
Shida yako dawa iue mbu ama unataka mapsmbo kwenye kopo? Kwani zile za kuchoma za miti ya porini huwa zina nembo ya TFDA? Mbona huwa tunachoma tu na mbu wanakwanakufa bila TFDA kuingilia kati? We vipi bwana kwani wewe unaganya utafiti?
 
bora umesema za miti ya porini angalau hizo zinajulikana origin yake. sasa hii inatokea nyumbani kwenu? je hao TFDA na TBS si wapo kwa ajili ya kuangalia usalama wa jamii husika?

kwani ukiona juice zinateketezwa kwa kutokidhi vigezo vya usalama kwa mtumiaji ina maana zinakuwa hazipiti kooni ukinywa?
au ndo uwezo wako wa kufikiri umegotea hapo?
jaribu kujiuliza je ikishaua mbu afya za watu zinabaki salama au madhara yanabaki ndani?

mwisho jiulize kwa nini konyagi inauzwa na kukatwa kodi ila gongo inaitwa haramu.
 
Shida yako dawa iue mbu ama unataka mapsmbo kwenye kopo? Kwani zile za kuchoma za miti ya porini huwa zina nembo ya TFDA? Mbona huwa tunachoma tu na mbu wanakwanakufa bila TFDA kuingilia kati? We vipi bwana kwani wewe unaganya utafiti?
Kitu cha kitaalamu lazima kiwe na maelezo ya msingi,hata vinywaji au vyakula vinaandikwa expire date inavyoonekana we unaweza kula kitu,nye ndo mnaokufa hovyo kama kuku mwishoni mnasema ni mapenzi ya mungu.

Je umeijaribu ukaona inavyofanya kazi au unalia tu na TFDA, ukiitumia pamoja na chakula hapo umeenda pabaya, lakini kuichoma ikauua mbu peta tu
utatumiaje bila maelezo unaishi karne ya ngapi wewe?
 
Wadau naomba maelezo kuhusu hii dawa ya shenke , nimejaribu kutafuta maelezo ya ndani kama inatengenezwa na vitu gani kama ina madhara yoyote etc, lakini imekuwa ni shida kupata.

yaonyesha inaua soko la dawa nyingine za mbu,hasa ngao na za kupuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…