Shemu, mimi nitamwambia kaka hakyanani!

ila pamoja na ushauri unaopewa mwisho wake utaleta uzi ukisema shemeji yako alikuja chumbani kwako akavua nguo na kukutishia kuwa usipomtafuna atamwambia kaka yako na mkeo ulitaka kumbaka maana hushauriki wewe.
 
Sepa!
 
No bora ukajifanya umepata dharula ya kuondoka na kata kabisa mawasiliano naye
 
Mmmmmmhh mkuu hapo rud nyumban inakuaje unakaa kwa bro likizo mkeo karud om yaan me hapo hainiingi akili cwez kumuacha mbali bora hiyo rikizo ikaishia om
 
Acha use***,..af kama stor flan hiv,..et umwambie bro ili iweje?amwache mkewe,.ka jasiri kula mzigo sepa.mambo ya kusemeleana wap na wap,..ka sio mtoto wa magomen bwana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…