Shemu, mimi nitamwambia kaka hakyanani!

Shemeji yako anahisi/kagundua kaka yako hana uwezo wa kumsababishia ujauzito. Hivyo anakurubuni wewe akulengeshe umsababishie ujauzito. Mtoto akipatikana hata wakifanya DNA itaonyesha mtoto ni wa kaka yako. Ingawaje itakuwa si kweli. Changanya na zako!
 
MTU anapojalibiwa asiseme amejalibiwa na mungu bali mtu hujalibiwa na tamaa yake mwenyewe
 
Nae mke wako ameshachat na boss kumjulisha upo likizo hivyo amuite kazini wale vinono kwa Uhuru kabisaa, we endelea kucheza Fifa apo. Alaf kwanini usikae huko pembeni walipo wazazi wako ukapiga nao Soga?. Uvulana mbaya sana asee, mwanaume hawezi kuwa hivyo.
 
Hivi mbona mnauibisha uanaume lkn!Wazee waliweka walizingatia sana jando kwa vijana wa kiume kwaajili ya watu kama huyu!Huyu ndo anategemewa kuwa kichwa cha familia kweli!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…