Shemu, mimi nitamwambia kaka hakyanani!

Mkuu onyesha ukomavu wa akili, hiyo wiki kesho isifike nenda kwa mkeo. Huyo ukikaa nae siku mbili utakula ni sawa na mtu anaetumia muwa kama fimbo ya kutembelea utaula tu.
 
Usilete ugomvi kwa watu then wewe ukawe na amani kwako. Ya ngoswe mwachie mwenyewe.
 
Rudi kwako,mkeo amerud why na wewe usirud kwako?Unabak kumchekea chekea unauweka rehani undugu
 
MKUU, HAPO CHA KUFANYA USIMWAMBIE BRO. HAWEZ KUKUAMIN NA ATAKUCHUKIA. WEWE SEPA..
 
Kwel wanaume tuko wachache.... ad malaika wana kushangaa...tikisa nyavu kiroho MBAYA.
 
Ikiwa Mkeo amerudi nyumbani wewe una subiria nini? kuna mambo mengine ni vizuri ukijiepusha bila kumdhuru yoyote,why ungojee mpaka mpaka lini sijui fungasha uondoke,haina haja ya kumwambia kaka yako wala nani..
 
Kupata fursa ya kumkosea kaka yako kwa manufaa ya mwili wako na ukaamua kuto kufanya kosa hill ndo USHUJAA NA UNDUGU WENYEWE
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…