Kuna huyu jamaa kaoa dada yangu, ushemeji umegeuka na kuwa urafiki, jamaa ni mtu wa viwanja sana kama nilivyo mimi, pia ni mnywaji na anapenda sana totoz, kila nikigongana naye lazima nimkute na totoz mpyaaaa, kwa muda mrefu nimevumilia, tukigongana kiwanja basi tunakunywa na totoz zetu wakati mwingine gharama anabeba yeye na wakati mwingine mimi, kwa sasa uzalendo umenishinda maana jamaa kazidi kubadili totoz, mwishowe atamuua sister ila pa kuanzia sina maana jamaa ni mshikaji kweli kweli na hata nikimuambia sister atanisikiliza? au ndo itakuwa chuki mimi na shem wangu mpenda totoz?.

Wewe ndiyo mwenye balaa lote; Ujue watoto wa dada yako wanakuita mjomba!! ilikubidii kuzuia fitina hiyo hapo mwanzoni kabisa. Lakini ukimya wako na udhaifu wako umekufikisha hapo. ..Anyhow still wewe kama rijali toa ONYO kwa shem wako na liwe onyo la mwisho !! ili arudi nyumbani kwa familia yake. awatendee haki na uadilifu.....Kuna huyu jamaa kaoa dada yangu, ushemeji umegeuka na kuwa urafiki, jamaa ni mtu wa viwanja sana kama nilivyo mimi, pia ni mnywaji na anapenda sana totoz, kila nikigongana naye lazima nimkute na totoz mpyaaaa, kwa muda mrefu nimevumilia, tukigongana kiwanja basi tunakunywa na totoz zetu wakati mwingine gharama anabeba yeye na wakati mwingine mimi, kwa sasa uzalendo umenishinda maana jamaa kazidi kubadili totoz, mwishowe atamuua sister ila pa kuanzia sina maana jamaa ni mshikaji kweli kweli na hata nikimuambia sister atanisikiliza? au ndo itakuwa chuki mimi na shem wangu mpenda totoz?.