mtoto mpole
JF-Expert Member
- Mar 22, 2010
- 678
- 148
Najihisi ka mmoja wa wabunge wa chama fulani hivi walioongea bungeni jana, inakuwaje nashindwa kuelewa unasema nini??
Kwa mfano upo na mume/mke wako wa ndoa pamoja na kaka yake mmeenda kupata moja mbili sasa katika story kaka yake anàanza kumuhadithia mdogo wake ambae ni mume wako/mke wako story kuhusu mchepuko wake yaan anamtaja na jina kabisa kwamba labda amedhulumiwa million 3 sijui tutamsaidiaje huku akijua wewe haujui unamuona mumeo/mkeo anakazana kumkanyaga mguu asiendelee kuongea sasa shemeji haelewi mara mkeo/mumeo akamtumia msg shemeji ndo kuanza kujibaraguza ooonh cathy/juma ni rafiki yangu sana akaanza kuweka uongo mwingiii wakat kashasema mipango yao yote.....na wewe ulishamuuliza sana mkeo/mmeo kuhusu huyu cathy /juma akakataa na una evidence lakin sio strong like kukuta msg kwa simu na n.k.... Je ungekua wewe ungefanyaje?
Kwa mfano upo na mume/mke wako wa ndoa pamoja na kaka yake mmeenda kupata moja mbili sasa katika story kaka yake anàanza kumuhadithia mdogo wake ambae ni mume wako/mke wako story kuhusu mchepuko wake yaani anamtaja na jina kabisa kwamba labda amedhulumiwa million 3 sijui tutamsaidiaje huku akijua wewe haujui unamuona mumeo/mkeo anakazana kumkanyaga mguu asiendelee kuongea sasa shemeji haelewi mara mkeo/mumeo akamtumia message shemeji ndo kuanza kujibaraguza eti cathy/juma ni rafiki yangu sana akaanza kuweka uongo mwingiii wakati kashasema mipango yao yote na wewe ulishamuuliza sana mkeo/mmeo kuhusu huyu cathy /juma akakataa na una evidence lakini sio strong like kukuta message kwa simu na n.k.
Je ungekua wewe ungefanyaje?
Ningekua mimi ningesema sijailewa mada.