Shemeji zima taa

hilo jibu la shemeji ni la kukatisha tamaa ama hataki kabisa au ignorant wa lugha ya mapenzi
 
Taa zilikuwa zinazimwa zamani, siku hizi ni kweupe pee!
 
Zamani kulikuwa na giza ila siku hizi mwanga huko nje nje na ndiyo maana watu hushikwa kila mara wakiduu na mashemji zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…