mtie mimba za kutosha.....bandika bandua!
Mi nilijua ukioa mwanamke uliye mpita umri mkubwa ndo anakuwa na upendo na utiifu kupita mmwanamke ambaye unalingana au kipishana kidogo. Kumbe wote pasua kichwa, inabidi Manual ya jinsi ya kuishi na mwanamke inabd ipatikane
Ndiyo kudeka kutazidi kupita kiasi, saa 7 na nusu za usiku, "baby nina hamu na mafenesi, mapera mabichi, ubuyu na mihogo ya kukaanga baby nenda ukaninunulie" sasa usiku wa manane utavipata wapi vyote hivyo, hapo mnuno wake acha kabisa utatamani uhame nyumba.
mtie mimba za kutosha.....bandika bandua!
Khantwe kausha basi hahahahaaWanawake wote hawa unabaniwa nini? na unajuaje kama huyo dada ni agemate wako? kama mtoa mada ndo agemate wako?
Wakuu,
Huyu mama (shemej yenu) kwakweli kazidi kisirani. Kila siku mimi jukumu langu ni kumbembeleza tu na yeye la kwake ni kunitibua. Kifupi hapendi amani nachoka kubembeleza wakuu nakua nalea badala ya kua na mwenza au tatizo ni age difference maana nimemuacha 9 years?
Msaada
nimeipenda hii nilishaitumia na sasa nimerelax...wanampeleka mbio yeye mm kazi yangu kutoa hela tu..
baadhi ya wanawake ni pasua kichwa
Wakuu,
Huyu mama (shemej yenu) kwakweli kazidi kisirani. Kila siku mimi jukumu langu ni kumbembeleza tu na yeye la kwake ni kunitibua. Kifupi hapendi amani nachoka kubembeleza wakuu nakua nalea badala ya kua na mwenza au tatizo ni age difference maana nimemuacha 9 years?
Msaada
Unamfanyaje mpaka anakua hivyo?au chanzo hua nini?