Shemeji yangu Hana chupi

Shemeji yangu Hana chupi

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,708
Reaction score
8,746
Salaam wote
Niende moja Kwa moja kwenye mada kwa wiki 1 sasa nachat na shemeji yangu ambae ni rafiki wa demu wangu sijatambulishwa rasmi na tunawasiliana kisiri siri

Hivi majuzi nlimtumia text huyo demu wangu nikamuuliza best ako mzima,nikaambulia matusi ya kutosha na huyo mdada nae alitukanwa pia nikapotezea ,mi nikaendelea kuchat na huyu shemeji angu story nyingi nyingi tu leo naamka nakuta text ya shemeji ,anadai hana furaha

Nikamuuliza Kwa nini akaniambia hana nguo za ndani (chupi) na hela hana.
nikichek mtoto ni booonge la sistaduu, mimi hajawahi kuniona ila mi nishamwona kwenye picha nashangaa ananiambia hana chupi nikamuuliza huna boyfriend ananijibu hana wanamzingua

Shemeji huyu ana 20 yrs na mwenzake kaniambia anatumika kotekote
Inshort shemeji anataka nimnunulie chupi ,hii haki kweli jamanii Kula wale wengine mimi ndo wa kununua chupi HII SAWA JAMANII???.ingawa hajaniambia direct Ila msg zake zinadhihirisha hivi.
 
Salaam wote
Niende moja Kwa moja kwenye mada
Kwa wiki 1 sasa nachat na shemeji yangu ambae ni rafiki wa demu wangu
Sijatambulishwa rasmi na tunawasiliana kisiri siri
Hivi majuzi nlimtumia text huyo demu wangu nkamuuliza best ako mzima,nkaambulia matusi ya kutosha na huyo mdada nae alitukanwa pia
Nkapotezea ,mi nkaendelea kuchat na huyu shemeji angu story nyingi nyingi Tu
Leo naamka nakuta text ya shemeji ,anadai Hana furaha
Nkamuuliza Kwa nini akaniambia Hana nguo za ndani (chupi) na hela hana.
Nkichek mtoto ni booonge la sistaduu,mi hajawahi kuniona Ila mi nishamwona kwenye picha nashangaa ananiambia hana chupi
Nkamuuliza huna boyfriend ananijibu Hana wanamzingua
Shemeji huyu ana 20 yrs na mwenzake kaniambia anatumika kotekote
Inshort shemeji anataka nimnunulie chupi ,hii haki kweli jamanii Kula wale wengine mi ndo wa kununua chupi HII SAWA JAMANII???.ingawa hajaniambia direct Ila msg zake zinadhihirisha hivi.

Kwa lugha iliyo nyepesi na nyoofu sana huyo Msichana / Demu / Shemeji yako hapo anakuambia kuwa anataka umbandue / ufanye nae mapenzi au ngono ila kwakuwa Mwanaume mwenzetu Wewe ni Popoma uliyetukuka unadhani ni kweli kuwa hana Chupi. Hivi kwa akili za kawaida tu Mwanamke anaweza akaishi bila Chupi? Acheni kuwa Wajinga na kama humuwezi huyo Msichana / Demu / Shemeji yako basi tupe sisi Majabali wa Kutukuka wa Kubandua tumalizane nae ili baadae aje akupe mrejesho.
 
.mkuu daaah hiii ndio shida ya vijana wetu walio maliza 6
 
Kwa lugha iliyo nyepesi na nyoofu sana huyo Msichana / Demu / Shemeji yako hapo anakuambia kuwa anataka umbandue / ufanye nae mapenzi au ngono ila kwakuwa Mwanaume mwenzetu Wewe ni Popoma uliyetukuka unadhani ni kweli kuwa hana Chupi. Hivi kwa akili za kawaida tu Mwanamke anaweza akaishi bila Chupi? Acheni kuwa Wajinga na kama humuwezi huyo Msichana / Demu / Shemeji yako basi tupe sisi Majabali wa Kutukuka wa Kubandua tumalizane nae ili baadae aje akupe mrejesho.
naunga mkono hoja ,akupe huyo shemela ucheze nae POPOMA
 
Kwani chupi bei gani? we nunua tu c wengine tutakusaidia kuvua, utakua umefanya tendo la huruma kwake na kwetu cc vidume
 
Haya mambo ndiyo yanashusha heshima ya JF, na sijui kwa nini upuuzi sampuli hii unaachwa ukielea muda mrefu, kero kubwa sana, watu kupost upuuzi mradi tuu hana cha kuandika. Sasa sijui anataka tumchangie tumnunulie chupi, au anataka tumfanyeje sisi, "inatuhusu nini" hapa jukwaani kujua mtu hana chupi !!!
 
Back
Top Bottom