USSNATHAN JAMES
Member
- Sep 9, 2016
- 18
- 6
Nimekuwa Namsifia mpaka wife ananistukia
Anasema kuwa mimi na mdogo wake tunaenda na kitabia. Kila wakati natazama picha zake japo mawasiliano yetu yako limited kwenye whatsapp
hatujazoweana kivileee lakini dah sijui huko mbele itakuwaje
Je hii ni kawaida na je nikipata nafasi ni smash je akikolea je ni handle vipi hii situation??
Kiukweli nampenda zaidi shemeji kuliko wife sasa nifanyeje huu mtihani???