toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,959
- 12,542
- Thread starter
-
- #121
Ndyo maana hawa wasukuma ni kawaida yao! Hasa (wanyantuzu) kutoka Simiyu mkeo kulala na rafiki zako ni kawaida sanaa!
Kuna dem mmoja nilimuambia rafiki yangu huyu Binti namtaka baada ya miezi kadhaa nikamkuta kwa nyumba aliyopanga rafiki yangu!
Nikaona hapa itakuwa raisi kumpata. Mshikaji akaniachia gheto nikala mzigo!
Badaa miezi kupita akaniambia yule dem nilishakula kabla yako!
Nilicheka sanaaa!!!! Hiyo ndiyo Simiyu-Bariadi!
daaaah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu shemeji yako nahisi hakumaliza hata darasa ya tano
Eti eenh?Bila shaka itakuwa una undugu na shemeji bibie...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulitikisika kidogo lolSwali zuri sana manake mutaroni imenishangaza sana bila shaka ubongo uliumia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wacheka nini?
Enhee mmeishia wapi na shemeji yako?
Nenda kamchue mgongo....
Juzi Shemeji yangu kaniomba nimpeleke mpaka kwake nlivyofika kwake akanikaribisha ndani wala sikukaa nikaondoka na akaniambia nisimwambie jamaa kama alinipeleka kwake,
Jana kanikuta kwene mambo yetu ya vijana, nimekaa naenjoy akaomba kunijoin, Tukakaa mpaka kama saa saba ivi, akaniomba ninpeleke home kwake nikamzuga sikwenda nikampeleka kwenye boda akapanda boda akasepa, alivyofika kwake hizi ndio msg alizotuma(kwenye screenshot), on top of that AKAPIGA SIMU ANATAKA NIENDE, Leo nimemwona ni mzima wa Afya na anacheka cheka tu.View attachment 1095649
Mabaharia wenzangu tuulizane, Nimwambie mshkaji au nimkaushie? nishamkimbia sana ila saiv anatumia mbinu za kivita za RUSHIA kupindua matokeo ya uchaguz ya USA
NAWASILISHA
Yes yes big dadaEti eenh?
Shemeji muandiko mabonde kuinama!!
Watu wanaoandikaga mwandiko kwa wa Viatu vya Samaki huwa wepesi kupata Mimba sana hao.
Nipee yani nitakuheshimu sana. Na utakuwa mtu muhimu sana.Ahaha nishaanza kumkwepa mkuu akizingua nakutumia namba zake upambane nae
Nakushauri anza kwanza kufuatilia uraia wake. Ni kama anatokea nchi jirani kwa mgomvi aliyetumwagia wanawake tele hapa bongo!!Juzi Shemeji yangu kaniomba nimpeleke mpaka kwake nlivyofika kwake akanikaribisha ndani wala sikukaa nikaondoka na akaniambia nisimwambie jamaa kama alinipeleka kwake,