SHEMEJI KAMA HUYU UNAMFANYAJE ?

SHEMEJI KAMA HUYU UNAMFANYAJE ?

toughlendon_1

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Posts
6,912
Reaction score
12,371
Juzi Shemeji yangu kaniomba nimpeleke mpaka kwake nlivyofika kwake akanikaribisha ndani wala sikukaa nikaondoka na akaniambia nisimwambie jamaa kama alinipeleka kwake,

Jana kanikuta kwene mambo yetu ya vijana, nimekaa naenjoy akaomba kunijoin, Tukakaa mpaka kama saa saba ivi, akaniomba ninpeleke home kwake nikamzuga sikwenda nikampeleka kwenye boda akapanda boda akasepa, alivyofika kwake hizi ndio msg alizotuma(kwenye screenshot), on top of that AKAPIGA SIMU ANATAKA NIENDE, Leo nimemwona ni mzima wa Afya na anacheka cheka tu.
IMG_1476.JPG

Mabaharia wenzangu tuulizane, Nimwambie mshkaji au nimkaushie? nishamkimbia sana ila saiv anatumia mbinu za kivita za RUSHIA kupindua matokeo ya uchaguz ya USA

NAWASILISHA
 
Juzi Shemeji yangu kaniomba nimpeleke mpaka kwake nlivyofika kwake akanikaribisha ndani wala sikukaa nikaondoka na akaniambia nisimwambie jamaa kama alinipeleka kwake,

Jana kanikuta kwene mambo yetu ya vijana, nimekaa naenjoy akaomba kunijoin, Tukakaa mpaka kama saa saba ivi, akaniomba ninpeleke home kwake nikamzuga sikwenda nikampeleka kwenye boda akapanda boda akasepa, alivyofika kwake hizi ndio msg alizotuma(kwenye screenshot), on top of that AKAPIGA SIMU ANATAKA NIENDE, Leo nimemwona ni mzima wa Afya na anacheka cheka tu.View attachment 1095649

Huyo shemeji ni msukuma wa Kijiji gani ??hata kuandika hajui!!

Achana nae atakugombanisha na rafiki ako,kwanza anaonekana hana akili, hata STD VII sidhani kama kafika!
 
Ndio ujue tanzania kubwa watu mpaka leo hawajui kiswahili vizuri na kuandika ni tatizo, ntafanyaje sasa ndio shemeji huyo...
 
Juzi Shemeji yangu kaniomba nimpeleke mpaka kwake nlivyofika kwake akanikaribisha ndani wala sikukaa nikaondoka na akaniambia nisimwambie jamaa kama alinipeleka kwake,

Jana kanikuta kwene mambo yetu ya vijana, nimekaa naenjoy akaomba kunijoin, Tukakaa mpaka kama saa saba ivi, akaniomba ninpeleke home kwake nikamzuga sikwenda nikampeleka kwenye boda akapanda boda akasepa, alivyofika kwake hizi ndio msg alizotuma(kwenye screenshot), on top of that AKAPIGA SIMU ANATAKA NIENDE, Leo nimemwona ni mzima wa Afya na anacheka cheka tu.View attachment 1095649

Mabaharia wenzangu tuulizane, Nimwambie mshkaji au nimkaushie? nishamkimbia sana ila saiv anatumia mbinu za kivita za RUSHIA kupindua matokeo ya uchaguz ya USA

NAWASILISHA
Nipe namba yake nimkanye.
Ni tabia mbaya sana hiyo
 
Huyo shemeji ni msukuma wa Kijiji gani ??hata kuandika hajui!!

Achana nae atakugombanisha na rafiki ako,kwanza anaonekana hana akili, hata STD VII sidhani kama kafika!
Kumbe wasiojua kuandika ni Wasukuma pekee
 
Back
Top Bottom