Shemeji haeleweki jamani!

Dah watoto wa kike mliooko vyuoni mna tamaa sana na mengi yamewakuta hili cha mtoto, mnajirahisi sana kwa wenye chenchi zao, Badilikeni
 
Walipogrgedana hamkutushirikisha, jamaa anapokuwa haeleweki mnatutafuta hahaaaa imekula kwenu chunguza zaidi huyo shemeji yako lzm awe baba fulani
 
Pole sana mdau! Wakati mwingine muwe mnajitahidi kufanya "ka uchunguzi" kidogo kwanza, kabla ya kuamua kuogelea kwenye "dimbwi" la mahaba!
 
Jamaa mjanja, Aliona amdanganye bi shosti kuwa kafulia akijua ataachwa coz alichokiendea keshakipata. Ila ndo vile shosti kafika bei.
Mwambie rafiki yako a call off the hunt! Its done, keshampa jamaa alichotaka hivyo washake mikono(It was nice doing business with u) maisha yaendelee
 
:frusty: ndo mana wanatuambiaga wanawake mwalimu wetu kipofu kiziwi hafu bubu na miguu hana duuuh!
 
SUTU..PID GIRL!!!!!!!!!! Peanut brain mkubwaaa! Mxiuuuuuuuuuuuu! THE GUY IS MARRIED! It doesnt even need 2 seconds to figure that out!
Hajafukuzwa kazi wala babu yake kibarua! How is she even sure the guy has a job? THE GIRL IS PATHETIC!!!!!!!!!!!!!

I ont even waste more of my precious time to rescue a LOST course! Natamani nimlambe BAKORA za reja reja hadi akilizichaji!
ushapona majerahaa Mdada?
 
Back
Top Bottom