Uzinzi wako tu unakusumbua
Badala ya kuwaza nini ufanye uingize pesa unamwaza shemejio
Angalia kashifa ya Flora na Mbasha, shinda majaribu na acha kushinda home
Hebu msome vizuri mdau.... Hii ni taarifa tu kwamba keshamaliza kazi...
Umesahau kuwa uzinzi unaanzia kwa kichwa?
Nilikuwepo....
Babu DC!!
Wassenge kama nyie wenye kazi za kuunga kuunga hamueleweki mnaish kwa deal hapa mjini mnaishiwaga kupakatwa
HUNA ADABU GET A LIFE!?!
Kuona kavaa kanga moko anawaza kuwa ni mbuzi katika marandoAshinde majaribu gani tena?
Please msome vizuri.....
Hapo wee suhuza rungu, ila yatakayotokea baadae ni juu yako!
Kwani lazima kutumia kiingereza aisee? Our couple ndo nn?I don't think so,instead of wasting your time at home for nothing you better find the work, thus why devil is gonna use you to destroy our couple as soon as possible.
**** la mkeo chafu unataka la mdogo wake
Amka utafute ela kiazi kibichi wewe
Mwanaume una kijungu unashndwa kukifanyia kazi?
utapakatwa kabla ya huu mwaka kuisha wewe
Sasa nani mwenye mambo ya kipuuzi? Mimi au wewe? Ukishampa mimba huyo shemeji yako njoo tena utuombe ushauri jinsi ya kuiepuka fedheha!! Mkeo anakulea wewe na Kid wako kisha unataka kumsaliti? Halafu unakataa kuitwa mpuuzi?!
unashindwa kutobwa saivi na bwana ako..unaniletea nyege zako mshindo mimi.uta ***** k-uma kibuyu wewe..bwana ako adindishi unataka nikufile sifili mikundu michafu muuza k-uma wa kimboka ww..
kama mwanaume lijali mihemko lazima.ila nimejizuia kosa langu niniUpuuz wa hiv siupend kavaa kanga yanakuhs nn? Kwa nn useme mitego? Kwan ukivaa boxer au taulo ulishawah kuona mwanamke anasema mitego hyo, unajhs tu toka humo ndan uwe unafanya mazoez na ujichanganye na watu ach uzembe.
Yaani mtu analishwa na mkewe afu bado anapata aski majinuni ya kumtamani shemejie... Huyu jamaa laiti mkewe akijua anaweza kumtimua yeye