Shemale unataka nini? Unikome!!

Nakusalimia UOTE="mshana jr, post: 18150769, member: 98741"]
[/QUOTE]
 
Shemale sio msagaji....

Shemale ni mwanaume ambae ana sehemu zake za siri za kiume zilizokamilika. Ila amejibadilisha kiasi fulani kujieka kama mwanamke.

Anaweza kuwa anajipodoa kama mwanamke, mavazi ya kike, nywele za kike, na hata akawa ana inplants, yaani kuweka maziwa kama ya kike, pamoja na kujibadilisha kimwili/ kisauti na sura kuwa ya kike. lakini akifunuliwa huko chini ni kidume.
 
[HASHTAG]#eddy love[/HASHTAG] mi sina tabia hiyo. nimeongea kiustaarabu kwa simu na kwa lugha nzuri sana huku kwenye simu ila MGUMU na siwezi kubadili namba kisa hiko tu........ ebu fanya imagination haya ndo yamekukuta.
hebu nipatie namba zao niwaunganishe na dada moja hivi ndo michezo yake kukoboa madada wenzie
 
i think msg alredy sent and derivery hawatarudi. na nnahisi ni wa 2 ila wana ID mbilimbili unachogundua tu ni miandiko yao.
Sawa umeeleweka
Ila hiki kiinglish chako nacho ni tatizo jingine
 
Mh
 
mtoa mada unajua tofauti ya shemele na lesbian mkuu?

naona umechanganya mafaili
 
Mmmmmmmh Interesting....

Hata hivyo shemale ni dume jike linaloumbo la kike na dushe while msagaji ni lesbian aka mwanamke aliyekamilika na papuchi safii tu.
 
etttiiii....?!!!
 
Kwanza nakusifu kuna sehemu unaongea point nzuri sana.
Lakini pia umekimbia swali la supermarket, haiwezekani useme uko katikati kwenye swala kama hilo.
Mfano mimi najibu , siungi mkono ushoga , nachukia ushoga, ila siwachukii mashoga kwa kuwa sijui walianzaje mpaka wakawa hivo,na hata nikiwachukua haitasolve anything. Hate the sin not the sinner, nachukia watu wanavotaka kutuaminisha kuwa watoto wetu wakiwa wamechagua ushoga basi wao wamechagua njia sahihi.
Kwa hiyo mkuu lazima tujue either una sapot ushoga au unachukia. Halafu baadaye ndio tukusikilize mitazamo yako kwa kina
Pia Yesu alichukia uzinzi ila alichukia pia uzinzi kuadhibiwa kwa mawe kwani ile haikumsaidia mtu, ndio maana mwishoni ali iterm kama dhambi na aka mwambia aliyekuwa mzinzi asitende dhambi tena, wala hakuwa vugu vugu kama wewe (naamini kuwa katikati ndio unafiki wenyewe, bora ukatae au ukubali)
lwiva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…