Kama ni hivyo sawaNilikuwa najiuliza sana, kwa nini nimemuota? Tena sina mazoea nae, halafu kwa nini alikuja kukaa karibu na mimi siku hiyo?
Nikaona labda shetani ananatega, nilihama nafasi ili kuepusha fitna ya nafsi...manake akili ilikuwa inanambia nimsimulie...na ninavyowajua wanaume angekamata fursa.
Weee kweli akahama chumba?basi mapepo afu wanakujajuta baadae
Ni kweli ameumia.Lakini amshukuru Mungu kamuepusha na majanga.Endeleeni kumuombea kwani bado ana roho ya uchungu.Otherwise deliverance inamhusu na hiyo roho ya kukataliwa.
Aisee, shukuruni Mungu sio mimi maana ningekuwa natoa adhabu papo kwa papo! Watu mmezidi kumuongopea Mungu mpaka shetani atawakataa!
ha!ha !ha! Mkuu umemaliza yaani maana sijui ungetoa adhabu gani lol
Yaani ukiongea tu kusingizia Mungu nakugeuza unaanza kutembelea kichwa na miguu inakuwa juu!
Marufuku mpenzi wangu kuwa mlokole au kusali kanisa uchwara. Ni RC tu.
Haya ndo yatakayofwatia
Mungu ni mwaminifu na anatenda mambo kwa wakati teba sawasawa na uhitaji wa mioyo yetu,lbd kuna mistake alifanya huyo dada wkt wa kuanza maombi au hakuzingatia pia muda,
Aisee, shukuruni Mungu sio mimi maana ningekuwa natoa adhabu papo kwa papo! Watu mmezidi kumuongopea Mungu mpaka shetani atawakataa!
Afu kuna jambo nimeoteshwa juu yako. Yaani kwenye maono umeninunulia nissan navara. Tumika mpendwa.
mhhhhhh!hiyo hatari mkuu
Sasa kwani mtu kuwa mlokole kuna nini?ni kweli hamna cha Mungu wala Shetani ni tamaa zao tu
Na wewe unajichanganya.Si umesema mpaka sasa hajakubali kuachwa?Na isitoshe kuachwa ni kuachwa tu umie au usiumie.roho ya kukataliwa ndo inakuwaje hiyo mkuu?maana dada now ana furaha zake kama hajaumizwa vile