Shellukindo adaiwa kuongoza uasi CCM

Kwa hali ilivyo sasa ndani ya serikali na CCM chochote utakacho umba ni rahisi ku assume kwa kuunga dot na zikakubali
Tutasikia mengi
 

Siyaamini sana maneno yako, kama serikali iliyopo madarakani ingekuwa inafanya mambo ya muhimu kwa wananchi wake, kelele zote hizi wala zisingekuwepo, lakini kadri tunavyoona hali ya uchumi, na maisha yanavyozidi kuwa magumu kwa wananchi, hii ni dalili tosha kabisa asemayo mama Shelukindo si chuki sababu kanyimwa uwaziri, au wewe ndugu yangu hali tuliyonayo sasa hivi nchini kwetu unaifurahia?Tanzania kwanza itikadi badae
 

Mkuu mwanzoni walikuwa wote!
 
jambo leo naona hawataki ukweli na pia kuna siri kubwa kuhusu jambo leo na wizara ya afya ndio maana wanamshambulia mama shellukindo tupo pamoja na mama pia tuulize pesa za matangazo ya utalili uk zipo wapi utalii kwa wakuu wa jambo leo matangazo hewa ya dola laki tatu yaliwekwa wapi uk
 
ama kweli kila mtu hufukiria njia zaidi za kujinufaisha zaidi.
 

shellukindo na akina sitta wapi na wapi hebu tuondolee upuupu
 
Kimbunga said:
Mkuu mwanzoni walikuwa wote!

Nimekupata mkuu, ila wakati huo mzee Shelukindo akiwa mwenyekiti wa kamati ya Nishati na madini alikuwa pia na kundi hilo la wapambanaji, nguzo zilipoanguka naye kageuza kibao hasa baada ya kusaidiwa kupata ubunge na EL, nakumbuka hadithi ya paka kukaa jikoni na akinamama kutoka porini akiishi na tembo hadi kuja kung'ang'ania majumbani tena jikoni, ndo kilichotokea kwa huyu mama, sasa kaona mwenye nguvu ni EL.
 

kumbe jambo leo??????khraaaaaaaaaaaa muda wangu jamani siningeenda kukojoa!
 
Mkuu wewe ulitegemea nini toka wanasiasa wa kiTanzania?
Kwani ukigeu geu umeanzia kwa huyo mama, au ndo mwendelezo wa hali ya kisiasa isiyoeleweka nchini?
 
hana lolote mnafiki huyo ccm vigeugeu anapigania posho yake na deni la bank linamsubiri,wamkamate tu.poshooooooooooooooooooooooooooooo
 
Habari kama hizi huwa zinanipa raha sana.
 


Huna hoja mbona Sitta na Mwakyembe ni mawziri na wanaichahcafya Serikali? Shelukindo hayuko kundi moja na Ole Sendeka na wenzake alishahamia siku nyingi kwa WHITE HAIR baada ya kupata Unajimu Nigeria jamaa anaweza ukwaa u prezidaaa katika nchi ya kusadikika na yeye anaweza pata Uwaziri huko
 
JAMBA Leo...............

:yawn::yawn::yawn:
 
Hilo linawezakana maana kundi la wanaojiita wanaharakati linaidaiwa ni kisasi cha kutoswa kwenye madaraka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…