je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,104
- 4,090
Ebhana ndugu zangu katika hatakati za hapa na pale nimekutana na ndugu yangu tukaongea mengi mengi mana yeye ni dalali lakin mwisho wa siku kuna kipengele kikajitokeza kwamba kuna sheli inauzwa maeneo ya jijini dar es salaam ( Mbande Kisewe)
Kwa bei elekezi ya 2.15 bil. nikaona ngoja nije jamii forums huenda kutakuwa na watu watachangamkia fursa ni Hilo tu.
Ina pump 3 za petrol 3 diesel na 1 kerosine
Kwa bei elekezi ya 2.15 bil. nikaona ngoja nije jamii forums huenda kutakuwa na watu watachangamkia fursa ni Hilo tu.
Ina pump 3 za petrol 3 diesel na 1 kerosine