Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
Ndugu Shekhe mishipa imemsimama kuzungumzia maandamano!
Kwahiyo kutakuwa na maandamano ya upande wanaiunga mkono serikali na wale wanaopiga uchaguzi! Hayaaa!!
===============
Wale wahuni wanaotaka kuandamana wakaombe kibali Serikalini huo ndio utaratibu wa maandamano kwa Tanzania na Dunia kote.
Watanzania shikilieni amani tarehe 29 tokeni mkapige kura mkachague kiongozi mnaomtaka, achaneni na maandamano amani hii bado tunaitaka.