Shekhe Mazinge aja na Maji ya Upako

Shekhe Mazinge aja na Maji ya Upako

Ni sheikh mnayemuamini

Ni sheikh mnayemuamini
Kwenye iyo 'mna..' ya wingi mimi na wanaojua mambo hata kidogo hatupo. Hapo wanabaki wajinga wasiojua, mazinge siyo shehe wala hajawahi kuwa shehe kwasabab hana elimu ni mjanja mjanja wa mjini yeye na wale wote anaotembea nao, hata kusoma Quran hajui. Na yule mwingine anayejiita Dokta ni tapeli mwenye tuhuma za uchawi na ushirikina.
 
mazinge yupi unaue muongelea?
 
Back
Top Bottom