Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,557
- 31,969
Kama mnavocomment yanapotokea Zanzibar kwa wakristo hawatakiwi Zanzibar,...je tuamini kwamba waislamu hawatakiwi Arusha? kama jibu siyo basi sote na tuamini kwamba haya ni matashi ya watu na si kitu kinachohusiana na Dini...
Karibu Dar-Es-Salaam.
SuperMix ni kipindi kinachorushwa hewani na East Africa Radio.
Padre hajausika kweli hapo??
Kweli wewe ni chizi CHADEMA inahusika vipi hapo? kwa maelezo mafupi yaliyotolewa muhusika atakuwa Ustaadhi AbdalaH kwani aliwahi kuwa Mwanza katika zile Arambee zake na kilichoandikwa kwa ufupi katika tukio hili kuna mkono wa shehk kutoka MwanzaHivi kunani huko ARUSHA? CHADEMA wanaipeleka wapi ARUSHA?
Ndiyo maana nikasema huo uhalifu una sababu zake, suala la kuchunguza zimenunuliwa wapi linaweza kuwa gumu kwa sababu inawezekana kabisa kuna sehemu wanazipata hizo tindikali tena kwa kiasi kikubwa tu.Kwa mtu anayeenda kufanya uhalifu kwenda kuichukua shuleeni ye naye atakua professional aisee, afu shule gani igawe tindikali ovyo kimya kimya...
Koma kabisa mburula wee. Sio kila kitu kibaya kikitokea ni CDM. Acha upuuzi wa kiCCMHivi kunani huko ARUSHA? CHADEMA wanaipeleka wapi ARUSHA?
Hii imetokea leo asubuh jijin Arusha shekh mkuu amwagiwa tindikali yeye pamoja na mwanae. Wahalifu hao mpaka sasa hawajajulika.
Souce East afrika radio.
Pamoja na kuisoma Biblia Takatifu toka Mwanzo mpaka Ufunuo, hakuna sehemu iliporuhusiwa kuua mtu aliye kinyume na Ukristo, ila imeamriwa kumpenda na kumleta kwa Yesu Kristo kwa Upendo.mkoma tembo. hamna mkristo aliye mkristo anayeweza kumdhuru asiye mkristo...hata kama huyo asiye mkristo atamtukana Yesu kwa aina yote ya matusi mkristo hapasw hata kumgusa kwa ncha ya kidole. yesu akasema nawaachia amri mpya nayo ni upendo. na mtu akimpenda anayempenda yeye afanya ziada gan?maana hata wasio mjua kristo wanatenda hayo hayo...wapenden wanaowaudh,wabarikin wanaowalaan.....kwa hiyo hakuna MKRISTO Anayeweza dai ye MKRISTO anatakiwa amuue au amdhuru asiye Mkristo.
Maana anayeish kwa upanga atakufa kwa upanga....
binadamu..taken sana upendo ndo uti wa Mgongo.
kuhusu zenj....inasemekana na weng kuwa kuna kikund cha watu ambacho hakipend ona wakristo( makafiri) wakiish huko.
Hivi kunani huko ARUSHA? CHADEMA wanaipeleka wapi ARUSHA?
si mlisema ni 2015.au mmeona mziki mnene?
Padre hajausika kweli hapo??
Aleykum Salaam (samahani sijui spelling zake) but mwambie ukweli kwa kuwa watu sasa wanaleta mchezo. Sisi tunataka tujadili jinsi gani ya kuweka mambo sawa ili hata masuala kama tindikali yasiwepo halafu mwingine anamwaga pumba. Mshamehe mkuu hajui alitendalo, anatumikia buku 7 Lumumba hivyo wao ni kucheua tu ubaya kwa CDM. Si unajua kila sekunde CDM haikauki vichwani na vinywani mwao?Ni mtu aliye mwendawazimu pekee awezae kuwahusisha chadema kwenye mambo hayo...
Sisi waislamu tunagombea madaraka kwenye misikiti kila mara...
Kuchapana bakora ni jambo la kawaida kwenye misikiti mingi, pia mapinduzi ni jambo la kawaida..! Hakuna siasa hapo... Acha upuuzi
Ni ngumu sana kuwakuta wakristo wakiwa na mambo ya kijinga kama hayo
Mhusika mkuu ni huyo katibu wa bavicha tawi la unga na mlinzi wa makao makuu cdm arusha mjini
Nina ushahidi mzito jinsi CDM walivyohusika kummwagia shehe tindikali
Ahsante kwa taarifa.
Naona kibao kinawabadilikia.