py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,447
Katika wachezaji niliokuwa nawakubali sana Vpl basi alikuwa huyu mido machachari shekhan Rashid
Mido hii ilikuwa inajiamini sana na alikuwa na madoido uwanjani ,pass zake murua nk,hakika alikamilika
Hata alipoenda kumalizia soka lake Azam bado ufundi/ulimbo ulikuwepo mguuni kwake
Bahati mbaya hakuweza kucheza soka ligi kubwa lakini kwa mpira wake alikuwa anastahili kucheza ligi kubwa