simplemind JF-Expert Member Apr 10, 2009 16,418 9,206 Jan 22, 2017 Thread starter #2 Ndugu wazanzibari nani mkali kati ya rais halali na rais wa mioyo ya wazanzibari?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 92,217 111,744 Jan 22, 2017 #3 Nimetoka mzima kabisa
Mystery JF-Expert Member Mar 8, 2012 15,843 31,049 Jan 22, 2017 #4 Zipo kila dalili kuwa kwa chaguzi za Dimani, Rais wa mioyo ya Watu ataibuka mshindi, na yule Rais wa 'kuwekwa' na dola ataangukia pua.....
Zipo kila dalili kuwa kwa chaguzi za Dimani, Rais wa mioyo ya Watu ataibuka mshindi, na yule Rais wa 'kuwekwa' na dola ataangukia pua.....