Sheikh Yahya wa kizungu: Case of poor judgment - US preacher Harold Camping gets it wrong again | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheikh Yahya wa kizungu: Case of poor judgment - US preacher Harold Camping gets it wrong again

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gad ONEYA, May 21, 2011.

 1. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  IF YOU'RE reading this, predictions that the world would end on May 21 were not true. US preacher Harold Camping, 89, who has studied the Bible for 70 years, predicted May 21 as Judgment Day.
  Mr Camping was raised a Baptist and belongs to the religious Right. He boasts tens of thousands of followers around the world and speaks to them through his Family Radio Network, which has made about $17 million in donations alone.
  He has argued that the recent spate of natural disasters, including earthquakes in Japan, New Zealand and Haiti, have been leading up to Doomsday. Mr Camping claims to have based his predictions on mathematical calculations.

  He believes Jesus was crucified on April 1, AD33, and 722,500 (calculated by multiplying three holy numbers together) days later would be May 21.
  FIVE OTHER END-OF-WORLD PREDICTIONS:
  1. Followers of William Miller believed the world would end on October 22, 1844.
  2.The Jehovah's Witness religion has predicted the end of the world in 1914, 1915, 1918, 1920, 1925, 1941, 1975 and 1994.
  3. Charles Wesley, founder of the Methodist Church, predicted the world would end in 1794.
  4. Famous forecaster Nostradamus predicted doomsday would happen in July 1999.
  5. English mystic Joanna Southcott predicted the world would end on October 19, 1814, when she gave birth to the Messiah. (Source: Various)

  My take; hawa watabiri feki mbona huwa hawatabiri kwamba ni lini nchi masikini zitageuka kuwa tajiri? Wengine nao wanaibukia na habari za ndotoni kwamba wametumwa kutibu magonjwa sugu ambayo hawajui hata anatomy zake!
   
 2. Stevemike

  Stevemike Senior Member

  #2
  May 21, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Labda tusubiri maana siku haijakwisha. Inaweza ikawa kweli!
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ukiangalia kwenye historia inaonekana ni tafsiri ya wahubiri au watabiri kutumia vifungu vya biblia katika hali ambayo ime-prove for several times to be disconnected and dysfunctional!
   
 4. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hakuna ajuye siku wala saa! Iwe kwa mahesabu, majini au kuota ndoto wala kwa kutabiri kwa nyota-si mwana wala si malaika ni siri ya MUNGU MKUU TU.

  Unachotakiwa kufanya, ni kutubu na kuishi maisha matakatifu, ili siku ikija usiwe na pressure!
   
 5. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,450
  Likes Received: 12,706
  Trophy Points: 280
  hihihiiiiii nimelala kwa wasiwasi sana jana,kuna watu wengine wameuza kila kilichochao wakakaa juu ya mawe kumngoja
  yesu.wengine wamijitoa uhai.sasa what is their life after thisssss?what ar they going to do next?huyu mhubiri achunwe ngozi!hapa
  nilipo i have a very bad headech usingizi aghhhhhhhhggggghh
   
 6. m

  mamakunda JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 371
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Unajua sijui ni kwa nini watu wanarubunika! biblia yenyewe haijataja siku ya mwisho, imeishia kusema dalili tu za siku za mwisho. Ikasisitiza hakuna ajuaye siku wala saa hata malaika walioko mbinguni nao hawajui! Ila ni Mungu peke yake.
   
 7. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nachelea kusema kwamba huenda yakafanyika kama yale yaUganda na Kibwetere! Wachungwe wafuasi wa huyu jamaa wasije wakajinyonga kukwepa aibu yao.
   
 8. Graca

  Graca JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 472
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  To be honest ckuwa na amani kabisa cku yote ya jana.
   
 9. N

  Nguto JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,650
  Likes Received: 627
  Trophy Points: 280
  Amen. Hata Mwana haijui siku ila Baba peke yake ndiye aijuae siku ya mwisho. Watu msidanganyike tuisubiri siku hiyo maana itakuja kama mwizi anavyokuja usiku. Dawa in kujiweka tayari siku zote kuingojea siku hiyo.
   
Loading...