Sheikh Yahya Alazwa !!

Kumbe bado yupo, mzima?
 
Nakutakia afya njema Sheikh..............na upone haraka..............
 
Natamani akutane na Mungu aliye hai na kumbadilisha ili ashuhudie kwamba alikuwa anatumikishwa na shetani kama vile tunavyowaona wachawi wengine wakishuhudia baada ya kukutana na YESU.
Angalia ATN Jumatano kipindi cha "THIS IS MY STORY".
 
huyu ndie anaekaimu ofisi ya shehe Yahya Hussein katika nyakati hizi za ugonjwa wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…