bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,853
Nyie mnaomtetea nina wasiwasi nanyi inawezekana ni wasaidizi wake, maana watu wa aina ya kina Shehe Yahaya lazima wawe na misukule iliyoenda shule bila yenyewe kujijua.
Hayo maneno ungemwambia bosi wako mchawi unayemtetea yangemsaidia sana au umepigwa kindumba huelewi unayoyasema.Hivi baada ya kwenda shule kote huko unaamini misukule sijui na majini gani? Ama kweli unaweza kufanikiwa kumtoa mtu kijijini na kumleta mjini lakini huwezi kuiondoa asili ya ukijiji moyoni kwake.
hv kwa nini Chanel ten wanatoa airtime kwa huyu mtu wa majini?
... "He's a friend, he used to come for meals regularly," the governor's wife complained after enquiring about the Tanzanian's fate with the police.
"Nothing is clear or official. We are being told he is a crook but no warrant was issued... Internal security confirmed his arrest and simply told us that witchcraft was banned," she added.
Mr Abdoulhoihabi, once a close aide to Comoran President Ahmed Abdallah Sambi and now an opposition politician, will face a ruling party candidate as he attempts to retain his job tomorrow. ....
Comoros expels Tanzanian for 'poll sorcery'
Ni AIBU kubwa sana kwa taifa letu !!!
Kushoto tunakamatwa na mabomu kwenye mifuko ya rambo tukipanda mabasi, na kulia tunatimuliwa UCHAWI!!!!!
Kwanini wasingemalizana naye kwa bunduki!
Hayo maneno ungemwambia bosi wako mchawi unayemtetea yangemsaidia sana au umepigwa kindumba huelewi unayoyasema.
What about your fate ? mnabidii ya kuunga unga stori ilimradi ifananie na mlilokusudia!!
Ulipo lala, sie tulikuwepo jana !
Hivi baada ya kwenda shule kote huko unaamini misukule sijui na majini gani? Ama kweli unaweza kufanikiwa kumtoa mtu kijijini na kumleta mjini lakini huwezi kuiondoa asili ya ukijiji moyoni kwake.
Kama wewe unamjua aliyefukuzwa tuambie sisi tunamjua ni Shekhe Yahya hadi utakapotuambia ni nani.acheni umbeya! Mbona habari yenyewe haijamtaja sheikh Yahya? Au jina limeandikwa kingleza nimeshindwa kuliona? Basi wangeeleza hata wasifu wake kuwa "na Tanzania anafahamika sana kwa kuroga uchaguzi" hapo ningewaelewa.! U-Great Thinker uko wapi hapa?
Yaani wanamdhalilisha mtaalam wa rais wetu? Haiwezakani lazima tuandamane au tuvunje uhusiano wa kibalozi!