SupuyaPweza
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 914
- 472
Waje kufanya nini mkuu?..Jamani 2020 waje na hapa kwetu jamanii
Waje kufanya nini mkuu?..Jamani 2020 waje na hapa kwetu jamanii
Waje kutusaidia.Waje kufanya nini mkuu?..
Wapumbavue wamemruhusu wasilalamike.
Mtu kaondoka mbele ya macho yao. Wamemsindikiza na kumuaga. Hawajajisumbua kuhakikisha anakabidhi ofisi na mali za umma. Anaodokoa wanasema kaondoka na hazina!. Pumbavue saana wanyamaze kimya. Kuanza kumfukuzia sijui kumshitaki aje ajibu nini ni upumbavue, kukosa kazi na ni unafiki.
Wameruhusu yafanyike, wanyamaze.
Ni mbinafsi wa kiwango cha lami . Hivi hana ndugu huko Gambia mpka aifilisi serikali? Hana uchungu kabisa na nchi huyu. Bora walivyomtoa
Hapa ndo paliponichekeshaAmekomba hazina yoote ya nchi!...
Source BBC...
Kuitoa ccm madarkani maana wapinzani wameshindwa tunataka msaada mkubwaWaje kufanya nini mkuu?..
Ghadafi alikuwa na hazina kuzidi hiyo ikawa kazi bure.Kachukuwa dola 200 million nasikia...!!
Kachukuwa dola 200 million nasikia...!!
Sija punic na sina sababu kwa sababu hakuna kinachoongezeka wala kupungua kwangu moja moja kutokana na huu ujinga. Isipokuwa ninaudhiwa na hizi tabia mbovu ambazo iongozi wenye nia ovu wamekuwa wakifanya kwa watu wao na hakuna kitu kinafanyika. Kuwanyamazia na kuwaruhusu waendelee kunakuwa mifano mibovu unayoigwa na wengine na wengine.
Kinachoniudhi na hawa Wagambia kuanza kulalamika baada ya mwizi wao kuondoka huku wakimsindikiza. Walikuwa wapi kumdhibiti akabidhi mali za umma? Kama alisafirisha magari ya umma, kwa nini wasiyarudishe walipogundua tu?
Hili ni tatizo la kijinga na aibu kubwa.
Huyu bwana alikuwa na washabiki wengi. Kwanza sehemu ya jeshi la nchi yake lilikuwa likimuunga mkono. pili, bunge lilimpa miezi mitatu aendelee, hii ni kuonesha liko upande wake. Fedha alizochukua hazina hazikuwa katika benki yeyote. Huenda aliogopa kuziweka benki zisije kuwa confiscated. Nne huyu bwana ni mganga/mchawi mahiri, huwezi jua alitumia mbinu gani za asili kuwanyamazisha wasipige kelele hadi alipoondoka. Huyu bwana alikuwa mganga maarufu wa ukimwi enzi za utawala wake. Kama wananchi wangedai fedha vita ingepiganwa, na unajua wahanga wa vita mara nyingi ni wananchi wa kawaida....Mbona niliona amebeba Qur'an na Tasbihi tu oh na rungu la dawa
Inabidi tuwe na jumuia yenye mfano wa ecowas, hii ya africa mashariki haiko katika mfumo wa kihivi...Kuitoa ccm madarkani maana wapinzani wameshindwa tunataka msaada mkubwa
Hata trump nae ana jina la JohnNi kawaida ya wenye jina la John
Mkuu nchi zetu hizi zina mauzauza kibao!...Hapa ndo paliponichekesha
[emoji1] [emoji1] kiserengeti Faru JohnJoni ameaga na kuwaacha mashabiki zake!...
Kiswahili: Joni, Yohana
Kingereza: John
Kiarabu: Yahya
Ki-dutch: Jan
Kiserengeti: FaruJohn
Kweli ma-John wamekumbwa na bahati mbaya msimu huu!...
View attachment 462917
ule muda ambao aliganda kwanza ikulu alikuwa anajiandaa kukomba kilakilichopo katika mfuko wa Gambia na sasa kasepa na chake baada ya ECOWAS kumchachavya. sijui EAC kama itaweza hii kazi ikiwa siku pembe ya faru John itakapo ariseJoni ameaga na kuwaacha mashabiki zake!...
Kiswahili: Joni, Yohana
Kingereza: John
Kiarabu: Yahya
Ki-dutch: Jan
Kiserengeti: FaruJohn
Kweli ma-John wamekumbwa na bahati mbaya msimu huu!...
View attachment 462917
Huyu bwana alikuwa na washabiki wengi. Kwanza sehemu ya jeshi la nchi yake lilikuwa likimuunga mkono. pili, bunge lilimpa miezi mitatu aendelee, hii ni kuonesha liko upande wake. Fedha alizochukua hazina hazikuwa katika benki yeyote. Huenda aliogopa kuziweka benki zisije kuwa confiscated. Nne huyu bwana ni mganga/mchawi mahiri, huwezi jua alitumia mbinu gani za asili kuwanyamazisha wasipige kelele hadi alipoondoka. Huyu bwana alikuwa mganga maarufu wa ukimwi enzi za utawala wake. Kama wananchi wangedai fedha vita ingepiganwa, na unajua wahanga wa vita mara nyingi ni wananchi wa kawaida....
Walinzi hao hao ndo watakao mlinda Baro?Masharti ya kuondoka kwake ilikuwa lazima akabidhi ofisi no matter nani alikuw anamlinda. Walinzi wake wote wako na walkuwa chini ya sheria za nchi.
Hata abadilishe walinziWalinzi hao hao ndo watakao mlinda Baro?