Mkapa alikua wapi siku zote leo hatake tume huru?
Tumia akili isiyo na mafusho ya kiCCM maisha ya Tume kuanzia kuchukua fomu mpk uchaguzi kwa chaguzi ndogo ndogo zilikuaje, Leo hii kukosea kueka herufi ndogo tu imekua sababu ya kukuengua katika uchaguzi na bado unasema maisha yalikua sawa. Kuna mda jaribuni kutoa mawazo ya kiCCM uone upande wa pili una nini.Well,
Tafsiri yenu ya demokrasia huwa inafikirisha....
Hapo juu umemvika mh.JK huo udemokrasia...
Ila japo wewe hujayasema haya niyasemayo hapa chini lakini nakukumbusha TU;
Waumini wenzako wa hiyo "demokrasia" wanasema pamoja na JK kuyatumia mabilioni ktka mchakato ule wa KATIBA YA WANANCHI...lakini kina Lipumba et al,walitoka bungeni na kusema wanakimbia "UINTARAHAMWE".
Katiba hiyo haikupita.....
Leo unasema JK ni TOFAUTI na JPM aaagh jombaaaaa[emoji23]
Mbona umesema WAKATI ULE na je WAKATI HUU vipiTume sio huru ila inachagua kina Mnyika, Mdee, Heche, Bulaya, Sugu, Silinde na Lijualikali(wakati ule) Joseph Haule, Lema, Msigwa mpaka nachoka kutaja
Amezungukwa na mapandikizi ya Bakwata ambayo ni zao la CCM.Ponda anajitambua sana ila bahati mbaya amezungukwa na waislamu wanafiki wengi. Wengi wao wameigeukia dunia na kuipa akhera kisogo.
Mbona umesema WAKATI ULE na je WAKATI HUU vipi
Tumia akili isiyo na mafusho ya kiCCM maisha ya Tume kuanzia kuchukua fomu mpk uchaguzi kwa chaguzi ndogo ndogo zilikuaje, Leo hii kukosea kueka herufi ndogo tu imekua sababu ya kukuengua katika uchaguzi na bado unasema maisha yalikua sawa. Kuna mda jaribuni kutoa mawazo ya kiCCM uone upande wa pili una nini.