Wacha amalize mwaka akitoka atakuwa amejifunza shughuli za kueneza dini na sio siasa.Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda aliyekamatwa na Jeshi la Polisi siku nane zilizopita (Julai 9, 2020) yuko Kituo cha Polisi Magomeni jijini Dar es Salaam.
Inadaiwa amekuwa akihamishwa kituo kimoja hadi kingine lakini akipelekwa Kituo Kikuu kwa ajili ya kuhojiwa kila alfajiri.
Soma hapa Sheikh Ponda anaendelea kushikiliwa na Polisi – Siku ya 8
Wacha amalize mwaka akitoka atakuwa amejifunza shughuli za kueneza dini na sio siasa.
Wewe na jina lako mbandia ndio unataka kutwambia alichosema Ponda? Serikali hii haiongozwi na wajinga kama walioiweka nchi yetu kwenye uchumu mbovu tangu tujitawale. Jaribu kupata ukweli kabla ya kubwatuka.Haya umewahi kuwaambia maaskofu wa TEC na nyaraka zao?
Ponda ni mjumbe tu, Waraka ni wa shura ya maimamu.
Serikali imuachie huru sheikh Ponda, hana kosa
Wewe na jina lako mbandia ndio unataka kutwambia alichosema Ponda? Serikali hii haiongozwi na wajinga kama walioiweka nchi yetu kwenye uchumu mbovu tangu tujitawale. Jaribu kupata ukweli kabla ya kubwatuka.
Wewe ndio upunguze chuki na jibu hoja bila kutafuta sympathy. Maaskofu wanaingiaje hapo? Unataka kubadili issue? Aliyeshikwa ni Ponda. Wacha wivu!punguza chuki mkuu, hazikusaidii
Mbona maaskofu walipotoa waraka wa kutaka demokrasia iwepo nchini hakuna askofu hata mmoja aliyekamatwa na polisi na wewe hujawahi kuishauri serikali iwaweke ndani?
Acha udini!
Wewe ndio upunguze chuki na jibu hoja bila kutafuta sympathy. Maaskofu wanaingiaje hapo? Unataka kubadili issue? Aliyeshikwa ni Ponda. Wacha wivu!
Pumba tupu hapo juu. Mimi sifahamu kosa lake Je, wewe mwerevu unaweza kutuwekea hapa makosa yake na ushahidi? Au ndio majungu yenyewe? Serikali haiongozwi kwa majungu!Fair treatment kwa makundi yote ya jamii lazima iwepo.
Askofu wa Rulenge, Niwemugizi alitoa kauli ya kupinga kuwaachia watu kwenda kusali kwenye mijumuiko ya wengi kipindi cha korona
TEC wametoa nyaraka za kutaka haki za watu na demokrasia nchini ziwepo
Walutheri nao walitoa waraka wao
Askofu Bagonza naye huwa anatoa misimamo kuhusu haki za raia.
Gwajima anatoa kauli kuwa Wasukuma waungane wamsaidie msukuma mwenzao, umewahi kusikia akiwekwa ndani hata siku moha kwa uchochezi?
Waislamu siku zote hizo wako kimya, hawajatoa waraka hata mmoja
Leo nao wanatoa wa kwao, unaohusu mustakbali wa nchi na maslahi yao then serikali inamtia ndani msomaji tu wa Taarifa ya maimamu, kama hii siyo double standard ni kitu gani?
Serikali lazima iheshimu makundi yote ya kijamii siyo kundi moja inaheshimu viongozi wake na kundi jingine inakamata na kuweka ndani viongozi wake!
Leo hii kuna Masheikh kibao wako jela, hawajatibitika kuwa na kosa lolote mbele ya sheria lakini wako wanaozea jela!
Serikali hii imesamehe hadi wabakaji waliofungwa kifungo cha maisha lakini haiachii huru masheikh ambao imrshindwa kuthibitisha makosa yao mbele ya mkono wa sheria. Kama huu siyo udini uliokubuhu ni nini?
Acha maneno yako wewe, fikiria sana ksbla ya kucomment mitandaoni.
Waislamu hawapendi treatments za nsmna hii!
Pumba tupu hapo juu. Mimi sifahamu kosa lake Je, wewe mwerevu unaweza kutuwekea hapa makosa yake na ushahidi? Au ndio majungu yenyewe?
Acha upimbi basiAendelee kukaa mpaka aelewe kujielewa
Wamkamate na Pengo AskofuAendelee kukaa mpaka aelewe kujielewa
Kwa hiyo unakubali pumba ulizoandika hapo juu na sasa unabadili gia angani? Polisi ndio wenye dhamana ya kumuweka mtu ndani sasa wewe unalialia nini?Wewe ndo ulisema awekwe ndani mwaka mmoja!, na mimi nakuuliza kwa kosa gani?
Je wakiendelea kumshikilia ule waraka utabadilika au kufutika?Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda aliyekamatwa na Jeshi la Polisi siku nane zilizopita (Julai 9, 2020) yuko Kituo cha Polisi Magomeni jijini Dar es Salaam.
Inadaiwa amekuwa akihamishwa kituo kimoja hadi kingine lakini akipelekwa Kituo Kikuu kwa ajili ya kuhojiwa kila alfajiri.
Soma hapa Sheikh Ponda anaendelea kushikiliwa na Polisi – Siku ya 8
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wamkamate mara ngapi unafikiri?Wamkamate na Pengo Askofu
Udhaifu na uoga wa waislamu ndio unawagharimu, na mtaendelea kunyayaswa mpaka mtakaporejea kwenye mafundisho ya mtume wenuFair treatment kwa makundi yote ya jamii lazima iwepo.
Askofu wa Rulenge, Niwemugizi alitoa kauli ya kupinga kuwaachia watu kwenda kusali kwenye mijumuiko ya wengi kipindi cha korona alikamatwa?
TEC wametoa nyaraka za kutaka haki za watu na demokrasia viwepo nchini, umewahi kusikia wanawekea ndani?
Walutheri nao walitoa waraka wao, kuna askofu alikamatwa?
Askofu Bagonza naye huwa anatoa misimamo kuhusu haki za raia umewahi kusikia anaitwa hata Central?
Gwajima anatoa kauli kuwa Wasukuma waungane wamsaidie msukuma mwenzao, umewahi kusikia akiwekwa ndani hata siku moha kwa uchochezi?
Waislamu siku zote hizo wako kimya, hawajatoa waraka hata mmoja
Leo nao wanatoa wa kwao, unaohusu mustakbali wa nchi na maslahi yao then serikali inamtia ndani msomaji tu wa Taarifa ya maimamu, kama hii siyo double standard ni kitu gani?
Serikali lazima iheshimu makundi yote ya kijamii siyo kundi moja inaheshimu viongozi wake na kundi jingine inakamata na kuweka ndani viongozi wake!
Leo hii kuna Masheikh kibao wako jela, hawajatibitika kuwa na kosa lolote mbele ya sheria lakini wako wanaozea jela!
Serikali hii imesamehe hadi wabakaji waliofungwa kifungo cha maisha lakini haiachii huru masheikh ambao imeshindwa kuthibitisha makosa yao mbele ya mkono wa sheria.
Acha maneno yako wewe, fikiria sana ksbla ya kucomment mitandaoni.
Waislamu hawapendi treatments za nsmna hii!
Pengo anavimbiwa tu sacrament altarenikhe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wamkamate mara ngapi?