Yaani kwenu nyie mtu sahihi ni akiwa CDM tu!Nasikia anaenda kugombea ubunge Kupitia Act wazalendo temeke.
Nategemea atapewa na tume ya uchaguzi kura 50 ktk kura elfu 24 za mgombea wa ccm.
Huu ndio utakuwa mwisho wa ushawishi wake Tanzania.
Kabla ya hapo nguvu ya Ponda ilikua kubwa si kwa waislam nje ya Bakwata lkn hata ktk kupigania haki.
Ila angegombea kupitia CHADEMA mngemsifiaHuyu si anatumika kapewa pension
Hii nchi bana mtu sahihi utamjua kwenye pesa tu
Ndio maana nitasimama na Lissu mpaka kesho!
Tumtakie safari njeamaNasikia anaenda kugombea ubunge Kupitia Act wazalendo temeke.
Nategemea atapewa na tume ya uchaguzi kura 50 ktk kura elfu 24 za mgombea wa ccm.
Huu ndio utakuwa mwisho wa ushawishi wake Tanzania.
Kabla ya hapo nguvu ya Ponda ilikua kubwa si kwa waislam nje ya Bakwata lkn hata ktk kupigania haki.
Miaka mingi kaitesa ccm kupitia mgongo wa Waislamu. Mwaka huu akipewa kura 50 atasimama jukwaa gani la Waislamu kusema anaushawishi?Yaani kwenu nyie mtu sahihi ni akiwa CDM tu!
Huyo ni Projrcts ya CCM ndani ya ACT WazalendoNasikia anaenda kugombea ubunge Kupitia Act wazalendo temeke.
Nategemea atapewa na tume ya uchaguzi kura 50 ktk kura elfu 24 za mgombea wa ccm.
Huu ndio utakuwa mwisho wa ushawishi wake Tanzania.
Kabla ya hapo nguvu ya Ponda ilikua kubwa si kwa waislam nje ya Bakwata lkn hata ktk kupigania haki.
No Reforms No ElectionIla angegombea kupitia CHADEMA mngemsifia
Hata chadema wakisimamisha mgombea itakuwa Bure tu ndio mana NRNEYaani kwenu nyie mtu sahihi ni akiwa CDM tu!
Mwamba ni CDM lakini si mtu sahihi.Yaani kwenu nyie mtu sahihi ni akiwa CDM tu!
Askofu Mwamakula anagombea Jimbo jipya hapo Mbeya UyoleNo Reforms No Election
No Reforms, No elections.Uchaguzi utapendeza zaidi kama CHADEMA nao watashiriki bila kujali kuibiwa kura. Kama wezi wa kura wanajulikana haina haja ya kuwahofia na kuogopa kuibiwa kura
Acha kumtisha...Nasikia anaenda kugombea ubunge Kupitia Act wazalendo temeke.
Nategemea atapewa na tume ya uchaguzi kura 50 ktk kura elfu 24 za mgombea wa ccm.
Huu ndio utakuwa mwisho wa ushawishi wake Tanzania.
Kabla ya hapo nguvu ya Ponda ilikua kubwa si kwa waislam nje ya Bakwata lkn hata ktk kupigania haki.
Kwenu yeyote atakayeenda chama tofauti na nyie basi amenunuliwa. Utadhani CDM ni msahafuNo Reforms No Election