Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Ni Mtanzania ana haki ya kuzungumza!Amekuwa mwanasiasa sasa
Hata katiba inasema anao uhuru wa kuzungumza kama MtanzaniaAmekuwa mwanasiasa sasa
Maigizo haya mwenye akili timamu anayaonaHana hajipa huyo. Atulie tu
Kwa vile sheikh Ponda kawagusa watawala basi watasema anachanganya dini na saisa! Lakini akisema yule shehe war dar kuisifia CCM na watawala basi ni sawa. Halafu serikali inadai "watanzania tuombeeni". Kwa vile wanafanya maovu na dhuluma kwa kukusudia si watanzania wote ambao tutawaombea. Wengine tutailaani serikali kila pale inapokusudia kufanya uovu kwa makusudi.SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, amekosoa utendaji wa Rais John Magufuli, hasa dhana ya kutumbua majipu, akisema ina kasoro za kiutawala, anaandika Happiness Lidwino.
Akizungumza na Mwanahalisi Online leo, Sheikh Ponda amesema utendaji wa Rais Magufuli ni wa kulipualipua.
“Ni kweli kwenye serikali kulikuwa na matatizo mengi, lakini lazima utaratibu kamili wa kuchukulia watu hatua ufuatwe,” amesema na kuongeza:
“Huwezi kuchukulia hatua watu bila kuwa na ripoti ya kitaalamu. Huko ni kufanya kazi kwa kulipuka.
Watanzania watafurahi zaidi kama serikali haitaingia hasara kutokana na kazi hiyo iliyo na shaka katika utekelezaji wake.”
Amesema ingekuwa bora kwa Rais Magufuli kusubiri ripoti za wataalamu wake, na si ‘kutumbua majipu’ kabla ya kupata ripoti.
Anasisitiza, “jambo hili halipo sawa hata kidogo.”
Anasema dhamira ya kurejesha nidhamu serikalini ni nzuri na inahitajika sana, lakini namna ya utekelezaji wa dhamira yake hakuuanza vizuri.
“Juzi Rais Magufuli amepokea ripoti kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali. Angepaswa kuanza kuifanyia kazi ripoti hiyo ili kuepuka madhara kama yale ya kukamata meli ya uvuvi kwenye Pwani ya Dar es Salaam mwishowe serikali ikaingia gharama,” amesema Sheikh Ponda.
Nadhani ni maoni tu kama ya wana JF wengi hapa, hatuwezi kuyapa uzito sana!SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, amekosoa utendaji wa Rais John Magufuli, hasa dhana ya kutumbua majipu, akisema ina kasoro za kiutawala, anaandika Happiness Lidwino.
Akizungumza na Mwanahalisi Online leo, Sheikh Ponda amesema utendaji wa Rais Magufuli ni wa kulipualipua.
“Ni kweli kwenye serikali kulikuwa na matatizo mengi, lakini lazima utaratibu kamili wa kuchukulia watu hatua ufuatwe,” amesema na kuongeza:
“Huwezi kuchukulia hatua watu bila kuwa na ripoti ya kitaalamu. Huko ni kufanya kazi kwa kulipuka.
Watanzania watafurahi zaidi kama serikali haitaingia hasara kutokana na kazi hiyo iliyo na shaka katika utekelezaji wake.”
Amesema ingekuwa bora kwa Rais Magufuli kusubiri ripoti za wataalamu wake, na si ‘kutumbua majipu’ kabla ya kupata ripoti.
Anasisitiza, “jambo hili halipo sawa hata kidogo.”
Anasema dhamira ya kurejesha nidhamu serikalini ni nzuri na inahitajika sana, lakini namna ya utekelezaji wa dhamira yake hakuuanza vizuri.
“Juzi Rais Magufuli amepokea ripoti kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali. Angepaswa kuanza kuifanyia kazi ripoti hiyo ili kuepuka madhara kama yale ya kukamata meli ya uvuvi kwenye Pwani ya Dar es Salaam mwishowe serikali ikaingia gharama,” amesema Sheikh Ponda.
Lakini msije ongea lugha nyingine mdaa si mrefuNadhani ni maoni tu kama ya wana JF wengi hapa, hatuwezi kuyapa uzito sana!
Kama angekuwa specific kuwa jipu A na B hayapo sahihi, au angesema kuwa haya yanayotumbuliwa ana uhakika kuwa hakuna taarifa za kitaalam zilizokamilika uchunguzi wake hivyo raisi anakurupuka kuamua, lkn mwanzo mwisho wa kisa chake hakuna uthibitisho wowote wa madai yake!
Ni hofu tu ya wananchi kuwa huenda haya yanayotokea hayatafanikiwa na Mkuu atashindwa!
Nadhani Ponda we endelea kumuombea raisi ayafanye Yale yenye manufaa na dhamira njema kwa umakini na ukamilifu mkubwa! Nadhani pia raisi hawezi kupuuzia ushauri wako, ingawa ofisi ya mwendesha mashtaka, PCCB, polisi na TISS ndio wanapaswa kuyasimamia haya!
Kujua au kuyaeleza mapungufu ya magufuli hautaji hata elimu ya darasa la 7, Magufuli amesha shindwa wenye uwelewa tulisha lifamu hiliUwezo wa Ponda ni mdogo sana hasa katika kuchambua masuala ya siasa.
Za kwako nizakimaigizo maigizo kama jina lakoComment zako huwa niza kijinga kijinga.
Unafaa kupuuzwa kama zilivyo comment zako.
Naomba nijazie nyama kwenye comment yako na UKWELI UTATUWEKA HURUWatu wengine unaweza kuwadhania ni watoto wadogo kwa comments zao.. Badala ya kulijadili tamko lake , watu wanaanza kumshambulia sheikh.sio vyema kabisa kwa kuwa kuna mafundisho nilipewa kuwa " kamwe usimdharau kichaa pale akupapo tahadhari "......
Hakuna atakaepinga kauli ya sheikh kuwa RAIS wetu (pamoja na viongozi wake wengine). Amekuwa akikurupuka katika maamuzi ambayo mwisho wa siku huzimwa kimya kimya na halihitaji kurunzi kuliona hili
**TANZANIA KWANZA**