Sheikh Ponda ainawa CCM

Sheikh Ponda ainawa CCM

Huyu Sheikh ni kichwa sana, nakubaliana na mawazo yake kuanzia suala la dini kuwekwa katika Sensa, dhamana kwa watuhumiwa na Kamati za ulinzi misikitini. CCM wanaposhindwa hoja, ukimbilia kwa mbwa wao (Policcm)
 
Ponda "anaponda" kama jina lake vile....chugueni majina mazuri kwa wanenu....ukimuita shida ujue ni shida hadi siku ya kufa..
 
Ponda alisema kuwa viongozi wa CCM wamekosa upeo katika kuielekeza serikali yao ishughulikie matatizo ya wananachi

Je Ponda hana hoja ya msingi? Wengi humu ndani (isipokuwa wale wanaoshiba kwa kufumbwa macho na fadhila) mnaikubali kwamba serikali imeshindwa kutataua matatizo ya wananchi wake!
Je tuogope kwa kuwa ametumia jukwaa la sehemu ya kuabudu? Ponda si mwanzilishi wakutumia eneo kama hilo .....Ni mara ngapi Maaskofu wanaikosoa serikali nyakati za maadhimisho ya sikukuu za kidini? Hata wanasiasa mf. Sitta, Lowasa wametoa kauli kali kwelikweli kwenye mikusanyiko ya kidini...

 
Japo napingana na mambo mengi ya PONDA ....ILA Naungana na PONDA katika hili la kupinga kuunda POLISI JAMII ndani ya nyumba za ibada...
 
ameongea mambo ya msingi; kwa yeyote hata mzazi wa kiongozi aliyeko kijijini angependa serikali ifanye vile ponda alivyosema hapa
 
sioni maneno ya uchochez ambayo Ponda kayasema unless kama yapo yaliyofichwa.
swala la kuishurutisha serikali ya CCM ni sawa na ni sahihi manake ni kweli ndivyo inyaotakiwa kushughulikia matatizo ya wananchi kwa sasa.
 
Shehe Ponda ni ______ hakuna polisi anaweza kumkamata waulize wale waliomkamata kipindi kile watakwambia...

Huyu ndugu ni hatari,akipatikana afungwe maisha!
 
Ponda tuko nyuma yako japo sisi ni Wakristo lakini tumekuelewa
 
Huku sheikh ponda,kulle bavicha,pale m4c,zanzibar uamsho, mtatoka nyie chama cha mabaomu 2015????

Watanzania lazima tukumbuke adui wa adui ni rafiki. We must build a united front to overcome hili calamity. Overcome we must.
 
Huyu naye amekua mwanasiasa siku hizi,hatosheki na michango ya msikiti sasa anazitafuta za siasa.
 
Back
Top Bottom