Sheikh Ponda aachiwa huru

Sheikh Ponda aachiwa huru

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,091
attachment.php

Mahakama ya hakimu mkazi Morogoro imemuachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda aliyekuwa akituhumiwa kwa makosa ya uchochezi baada ya mahakama kutoridhishwa na ushahidi wa upande wa mashtaka na hivyo kuonekana hana hatia.

Chanzo: IPP Media (EATV)
 
Attachments

  • unnamed.jpg
    unnamed.jpg
    49.4 KB · Views: 12,309
kale bata na familia yako, Magufuli kakuona bado babu seya
 
Niliwahi kusema hapa Jukwaani kuwa Ponda baada ya Uchaguzi Mkuu ataachiwa huru.
 
ShEikh Ponda alianza kuisumbua serikali toka enzi za Mwinyi, akaja Mkapa akaja Jk wote wamemshindwa, sasa ni zamu ya Ngosha, tuone kama ataweza.
 
Utawala wa Kikwete ulishindwa nini kumalizia suala hili hadi katolewa na mla mbuzi katoliki.
 
ShEikh Ponda alianza kuisumbua serikali toka enzi za Mwinyi, akaja Mkapa akaja Jk wote wamemshindwa, sasa ni zamu ya Ngosha, tuone kama ataweza.

We ole wake acheze na dola ya JP maana haina masihara hatakidogo....najua na yeye analitambua hilo
 
Niliwahi kusema hapa Jukwaani kuwa Ponda baada ya Uchaguzi Mkuu ataachiwa huru.

Ulitupia Uzi mkuu kama wa mafish au coz pale ulinikonga sana na forecast yako.
Hapa kwa Ponda ulitumia vigezo gani mkuu
 
Huyu shekhe manyampala wameshampakata huko jela,atulie sasa,aache ufala wa kutumiwa vibaya,next time atapigwa risasi.
 
Back
Top Bottom