Acha unafiki na kuijipendekeza
Mtumikie kafiri upate mradi wako
Ndio ndio!Mkuu umeisoma kwa umakin hiyo hoja lakin?
Asante mkuu. Napenda Mtibwa ishinde ili simba wafurahi.Kuna Yanga na Mtibwa leo...
Wa kimataifa tunarud kilelen Rasmi na wamchangani warud kwenye Nafas zao walizozoea
KWENYE KUFIKIRI NAMKUBALI DAU; HII MIRADI IKISIMAMIWA MIAKA 30; NSSF LITAKUWA SHIRIKA KUBWA AFRIKA, INVESTMENT ZA MAANA;
HIZI NI FITNA ZA PSPF, PPF , GEP KWA KUKOSA VIONGOZI WABUNIFU WAMETENGENEZA FILIGISU .
HAKUNA SHIRIKA LENYE KUVUTIA KAMA NSSF.
Norwich city Vs Sunderland wapo uwanjani sasa.Naomba kujua kama kuna mechi yoyote ya football ndani au nje ya nchi