Sheikh Mkuu: Eid itakuwa Jumamosi

Sheikh Mkuu: Eid itakuwa Jumamosi

mr.robot

Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
6
Reaction score
3
ITV wametangaza sasa hivi kwamba sheikh mkuu amesema kwa kuwa mwez mkuu haujaonekana basi waislamu Tanzania watasheherekea eid siku ya jumamosi
 
sawa tu hata iwe jumapili tutakomaa maana hatujalazimishwa kufunga ni kwa roho zetu wenyeweee
 
Khaa!! Imekaa poa sana. Kesho tuendelee na "alimselema hadija" tuinue uchumi wetu
 
Back
Top Bottom