Elias Msuya
Senior Member
- Dec 23, 2011
- 173
- 671
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Dar es Salaam, Sheikh Mohamed Mawinda, amesea kauli yake kuhusu wanaovunja amai nchini aliyoitoa Julai 5, 2025 haikumaanisha kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu auawe.
Akizungumza katika uzinduzi wa kanisa la Arise and Shine uliofanyika Julai 5, 2025 na kuhudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan jijini Dar es Salaam, Sheikh Mawinda ambaye pia ni kada wa CCM, alisisitiza umuhimu wa amani, akirejea kauli aliyowahi kuitoa Lissu ya kukinukisha na kusema kuwa amefikishwa mahakamani ili kuipima. "Acha mtu akate kichwa chako lakini nchi hii ibaki salama," alisema.
Soma zaidi: Sheikh Mawinda
Lakini akizungumza na The Chanzo leo, Sheikh Mawinda amesema hakumaanisha kuwa Lissu auawe.
Sikiliza: